Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuahirishwa kwa hafla ya utoaji wa tuzo za msimu wa 2024/2025, ambayo awali ilipangwa kufanyika tarehe 5 Desemba&n . . .
Vikosi viwili vyenye kiwango bora zaidi barani Ulaya vitachuana usiku wa kesho jumatano tarehe 26 kwenye Ligi ya Mabingwa Ndani ya uwanja wa Emirates, London.The Gunners, . . .
Bondia wa Kitanzania, Lupakisyo Mohamedi Shoti, ameandika historia mpya katika ngumi za kulipwa baada ya kumshinda Mromania Daniel “Magic Dan” Buciuc na kutwaa mkanda . . .
Shabiki wa klabu ya Simba maarufu kwa jina la Pasi Milioni leo katika hamasa za klabu ya Simba amefunguka juu ya suala la mashabiki wa simba kumgomea Ahmed Ally kuingiza . . .
Sherehe za utoaji wa Tuzo za Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF Awards 2025) zimefanyika kwa kishindo na kushuhudia wachezaji, makocha, marefa na timu mbalimbali zikit . . .
Klabu ya soka ya Uingereza, Arsenal imetangaza kuwa itamaliza mkataba wake wa udhamini wa miaka nane na Visit Rwanda mwishoni mwa msimu wa 2025-26, ushirikiano uliokuwa k . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wametunukiwa tuzo za heshima na Shi . . .
Wakati sherehe za utoaji wa Tuzo za shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF Awards 2025) zilizofanyika kwa kishindo na kushuhudia wachezaji, makocha, marefa na timu m . . .
Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba leo kwenye uzinduzi wa kispika (hamasa za Simba) kuelekea mchezo wao wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya Petro Atletico Ahme . . .
Nahodha wa Ufaransa Kylian Mbappé anadai fidia ya Euro Milioni 263 (takriban TSh 743 Bilioni) kutoka kwa Paris Saint-Germain katika mzozo unaohusu mkataba wake.Awali PSG . . .
Klabu ya ALAHLI Tripoli,ya Libya imetuma ofa ya $2,000,000 (tsh 4.8 bilion) ili kumsajili Fei Toto kutoka Azam Fc.Klabu hiyo ya Libya imetuma ofa hiyo baada ya ile ya kwa . . .
Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuwa golikipa Moussa Pinpin Camara ambaye kwa sasa yupo Nchini Morocco kwa matibabu ataendelea kuwa nje ya uwanja kwa muda wa Wiki 10 huku . . .
Mohamed Salah anatarajiwa kuichezea timu ya taifa Misri katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwezi Desemba na Januari, huku Liverpool ikiendelea kuhusishwa na mpa . . .
Timu ya taifa ya DRC hapo jana iliweka hai matumaini yake ya kufuzu kucheza fainali za kombe la Dunia hapo mwakani baada ya kuwafunga Nigeria kwa magoli 4 kwa 3 kwa njia . . .
Timu ya JKT Queens pamoja na Viongozi na Benchi la Ufundi wameondoka Novemba 5 mwaka huu kwenda nchini Misri kushiriki Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa w . . .
LOLITA Borega aweka rekodi nyingine tena nchini Tanzania baada ya kung’ara katika mashindano ya AA Junior and Senior Open Water Swimming Championship yaliyofanyika Nyal . . .
Klabu ya Juventus imemfuta kazi kocha wao Mkuu Igor Tudor baada ya kupoteza wa Serie A dhidi ya Lazio kwa goli 1-0. Igor alijiunga na Klabu hiyo mwezi Machi 2025 akichuk . . .
Mshambuliaji na kiungo wa zamani wa Tanzania Alphonse Modest amefariki dunia.Modest alicheza kwa timu za kikanda ikiwa ni pamoja na Simba SC na Young African . . .
Liverpool inafikiria kumsajili mshambuliaji wa Bournemouth na timu ya taifa ya Ghana Antoine Semenyo, 25, msimu wa uhamisho wa wachezaji Januari mwakani. (i Paper - usaji . . .
Kikosi kilirejea jana Dar es Salaam, leo vijana wamepumzika na kesho watarudi Mo Simba Arena kuanza maandalizi ya mchezo wa Jumapili. Tunayo furaha ya kocha wetu Seleman . . .
Aliyekuwa kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, amefichua sababu zilizomfanya kukataa ofa ya kujiunga na Manchester United kabla ya kuchukua mikoba ya Liverpool mwa . . .
Kipa kinda wa soka wa Senegal Cheikh Toure (18) ametekwa na kuuwawa na watu wasiojulikana baada ya kumtengenezea mtego kuwa anaenda kufanya majaribio ya soka la kulipwa.C . . .
Klabu ya Italia Inter Milan imeingia kwenye kinyang'anyiro cha kumsajili beki wa kati wa Crystal Palace Marc Guehi lakini Liverpool bado wanapewa nafasi kubwa ya kuinasa . . .
Sadio Mané ameendelea kuthibitisha ubora wake baada ya kuibuka shujaa kwa Senegal, akifunga magoli mawili muhimu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Mauritania, uliowape . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa amesema Michezo ni ajira uchumi na inatangaza Tanzania na sas . . .
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, uliopo mkoani Tabora, kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanyiwa marekebisho yali . . .
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi likibainisha kuwa mwongozo wa kupima na kuthibitisha jinsia za wachezaji wa kike utaanza kutumika rasmi kuanzia ms . . .
Mshambuliaji nyota wa Ureno na klabu ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, ametajwa kuwa mchezaji wa kwanza wa soka kufikia hadhi ya bilionea, kwa mujibu wa ripoti mpya ya chom . . .
Rais wa Klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said, ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Vilabu vya Wanaume Duniani kwa kipindi . . .
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limemteua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa Makamu wa Rais wa Kamati ya Soka la Ufukweni ya FIFA kwa kipind . . .
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesimamisha kwa muda mchezaji wa klabu ya Yanga Queens, Princess Jeanine Mukandiyisenga, raia wa Rwanda, kupisha uchunguzi wa kina kuh . . .
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC, Djigui Diarra, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025/2026. Hii ni baada . . .
Kocha mkuu wa klabu ya JKT Tanzania, Ahmad Ali amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa mwaka 2025/2026 akiwashinda Romain . . .