Rais mteule wa Nigeria, Asiwaju Bola Tinubu ameelezea hofu yake kuhusu njama za baadhi ya wapinzani wake aliowashinda katika uchaguzi Mkuu kutaka kusitisha mchakato wa mpito na maandalizi ya kuapishwa . . .
Wanasiasa wa upinzani nchini Kenya, wamesisitiza kuendelea na maandamano ya kitaifa Yatakayo hitimishwa siku ya Jumatatu ijayo (Machi 20, 2023), jijini Nairobi ambayo yanalenga kufikisha ujumbe wao wa . . .
Rais wa China, Xi Jinping amechaguliwa tena kwa kauli moja kuwa rais wa Taifa hilo hi leo Ijumaa Machi 10, katika kura ya wabunge na ataongoza China kwa muhula wa tatu wa miaka mitano, jambo ambalo ha . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amerejea nchini na kupokelewa na wafuasi wa chama hicho, ndugu na marafiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kiliman . . .
Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Asiwaju Bola Ahmed Tinubu wa chama tawala cha All Progressives Congress (APC), ndiye mshindi wa Uchaguzi wa Urais wa Nigeria wa 2023.Mweny . . .
Jumuiya ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) ilisema Jumatatu kwamba Tume Huru ya taifa ya Uchaguzi Nigeria (INEC) ilishindwa katika ahadi zake kadhaa ikiwa ni pamoja na kuchelewa na ku . . .
Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Corneille Nangaa alizindua chama chake cha kisiasa, miezi kadhaa kabla ya uchaguzi unaotarajiwa mwezi Disemba.Baada ya kuzi . . .
Mgombea Urais wa Chama cha All Progressives Congress (APC), Asiwaju Bola Ahmed Tinubu kwa sasa anaongoza dhidi ya wagombea wa vyama vingine vya kisiasa katika Jimbo la Ogun, kutokana na matokeo ya uch . . .
Kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amesema serikali tawala ya Kenya Kwanza inanuia kurejesha Kenya katika enzi za mfumo wa chama kimoja ambacho kilikuwepo wakati wa utawala wa Rais Moi.Kupitia . . .
Jeshi la Uganda limekanusha tuhuma za kumteka nyara na kumtesa mwanaharakati wa upinzani, siku moja baada ya picha kuibuka zikimuonesha mwathiriwa akiwa na alama za mateso zinazoonekana kifuani mwake. . . .
Kiongozi Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amewataka Wakenya kususia kulipa kodi ambayo imeongezeka maradufu tangu kuingia kwa utawala wa Rais William Ruto, huku akitaka matokeo ya uchaguzi wa . . .
Tume ya uchaguzi nchini Nigeria Jumatatu imesema uchaguzi mkuu wa mwishoni mwa mwezi Februari unaweza kufutwa au kuahirishwa ikiwa ukosefu wa usalama hautashughulikiwa.Rais Muhammadu Buhari ambaye ata . . .
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA John Mrema amesema Bunge la Wananchi limeundwa na wanachama wa chama hicho waliogombea ubunge mwaka 2020 na litakuwa linaendeshwa kwa njia ya mtandao na litashughu . . .
Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kinafanya mkutano wake mkuu leo ambao unatarijiwa kumchagua kwa mara nyingine rais Cyril Ramaphosa kuwa mwenyekiti licha ya kashfa iliyomchafulia jina kiongozi hu . . .
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesogeza mbele uchaguzi wa viongozi wa Sektetarieti ya Halmshauri Kuu ya chama hicho hadi itakapotangazwa tena. Akizungumza na waandishi wa Habari mkoani Dodoma baada ya k . . .
Haji Manara amepitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kwenye viti 15 Bara ambapo uchaguzi unatarajiwa kufanyika kesho Dodoma.Haji ambaye pia ni . . .
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wamemchagua Mohamed Ali Mohammed (Kawaida) kuwa mwenyekiti mpya wa umoja huo. Kawaida ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Kusini Unguja anachukua nafas . . .
Rapa Kanye West amesema ana nia ya kugombea urais wa Marekani mwaka 2024, licha ya kukabiliwa na kashfa kadhaa kutokana na tabia yake ya hivi karibuni. Nyota huyo ambaye amebadilisha jina lake ki . . .
Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma umemchagu la Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuwa mwenyekiti wa muda wa mkutano huo. Uchaguzi wa Ndugai umekuja kufuatia k . . .
Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Guinea ya Ikweta anatarajiwa kuendelea kuitawala nchi hiyo baada ya uchaguzi wa Jumapili. Obiang Nguema ambaye yupo madarakani kwa muda mrefu kuliko kiongoz . . .
Chama cha Democratic kitadumisha udhibiti wa Bunge la Seneti nchini Amerika, baada ya kushinda kura muhimu katika jimbo la Nevada. Hapo jana Jumapili, Seneta Catherine Cortez alitabiriwa kumshinda mp . . .
Chama tawala nchini Zimbabwe ZANU-PF jana Jumamosi kimempitisha Rais Emmerson Mnangagwa kuwa mgombea wake kwa uchaguzi mkuu ujao wa 2023. Mnangagwa aliingia madarakani 2017 baada ya majenerali wa kij . . .
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Boris Johnson Jana alijiondoa katika kinyang'anyiro cha kumrithi Liz Truss kama kiongozi wa nchi hiyo inayoendelea kukabiliwa na misukosuko ya kisisasa. . . .
Katibu Mkuu wa CHADEMA amesema kuundwa kwa Kikosi Kazi ni matumizi mabaya ya Fedha za Watanzania na hivyo Serikali itoke hadharani na iseme kimetumia Fedha kiasi ganiAsema Maoni ya Wananchi kuhusu #Ka . . .
. . .