Abiria wa Basi la Ngasere lililokuwa likisafiria kutoka Wilayani Mpwapwa kwenda jijini Dodoma, wanadaiwa kunusurika kifo, baada ya usafiri huo kupata ajali katika eneo la Kijiji cha Chunyu, Wilayani h . . .
Baada ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira – NEMC, kusema litawachukulia hatua ikiwemo kutoza faini hadi Shilingi 5,000,000 kwa Madereva na Abiria watakaojisaidia kwenye maeneo ya . . .
Klabu Bingwa nchini England Manchester City inajiandaa kumpa mkataba mpya Mshambuliaji Erling Haaland baada ya kuwakosha kwa huduma yake moto katika msimu huu wa kwanza kwenye Ligi Kuu England, imeele . . .
Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edward Mwaikali aliyeondolewa katika kanisa hilo, wamesusia ib . . .
Ni katika Maadhimisho ya Siku ya Upandaji Miti Kitaifa sambamba na Siku ya Misitu Duniani iliyofanyika Wilayani Magu mkoani Mwanza. . . .
Wabunge wachapana makonde live Bungeni baada ya kutokea ubishani wakati wa mjadala juu ya Sheria ya tozo ya Miamala ya KidijitaliUgomvi huo ulianza baada ya Mbunge wa Upinzani kumzuia Msaidi . . .
Mkurugenzi Wa Jembe Media Limited Dr Sebastian Ndege Ahamasisha Juu Ya Upimaji Wa Afya Kwa Vitendo Na Kuonyesha Mfano.Ikiwa Ni wiki ya dunia kuadhimisha mapambano dhidi ya VVU Ni muhimu kujali Afya z . . .
Rais wa Jamuhuli ya muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua mipaka ya kibiashara kati ya Tanzania na Uganda. Huku akiwataka mawaziri wa tume ya ushirikiano wa pande zote mbili upande wa . . .
Msanii Harmonize amekiwasha katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara katika Tamasha la Ibraah Home Coming . . .