Rais wa Jamuhuli ya muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua mipaka ya kibiashara kati ya Tanzania na Uganda. Huku akiwataka mawaziri wa tume ya ushirikiano wa pande zote mbili upande wa Tanzania na Uganda kukutana kwa haraka zaidi ili kuonda vikwazo vya kibiashara dhidi ya pande hizi mbili.