Delcy Rodríguez ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa Venezuela kufuatia kikao cha bunge kilichoanza kwa wito wa kutaka kuachiliwa kwa Rais aliyeelezwa kuondolewa madarakani Nicolás Maduro anayezuiliwa n . . .
TAKRIBANI robo ya wateja wa Safaricom (asilimia 23) hawana imani na ada wanazotozwa kwa matumizi ya data na jumbe fupi (SMS), kulingana na utafiti wa mdhibiti wa sekta unaoangazia mienendo ya utozaji . . .
Bilionea namba moja duniani Elon Musk ametoa bure huduma ya internet kwa wananchi wa Venezuela.Ambapo huduma hii ametoa kuanzia january 3 hadi february 3 ikiwa ni juhudi za kuwaunga mkono wananchi wa . . .
Mjane wa Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Maria Nyerere amepokea nishani ya heshima kutoka Jamhuri ya Angola ya kutambua mchango wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalim . . .
RIPOTI ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ya mwaka 2024 imeiweka Kenya katika nafasi ya nne barani Afrika kwa idadi ya watu walioathiriwa na matatizo ya afya ya akili, wanaokadiriwa kuwa milioni 1.9 huk . . .
Maandamano makubwa yanayoendelea nchini Iran yameingia wiki ya pili huku idadi ya watu waliopoteza maisha ikifikia 29, kwa mujibu wa taarifa za wanaharakati wa haki za binadamu.Watu 29 wamefariki duni . . .
Urusi na China zimetoa wito kwa Marekani kumuachilia kiongozi wa Venezuela Nicolás Maduro pamoja na mke wake Cilia Flores kufuatia kukamatwa kwao katika operesheni ya kijeshi ya Marekani iliyofanyika . . .
Kiongozi wa Venezuela Nicolás Maduro amejitangaza kuwa "rais halali wa Venezuela" wakati akipinga kukamatwa kwake nchini Marekani na amekanusha mashtaka mazito ya usafirishaji wa dawa za kulevya.Nico . . .
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa wizara za michezo na mashirikisho ya soka nchini (TFF na ZFA) kuangalia upya kanuni za mashindano ili kuwapa nafasi zaidi wachezaji wazaw . . .
Nchini Burundi, Rais Evariste Ndayishimiye alilazimika kumkemea waziri wake wa mambo ya nje baada ya waziri huyo kutuma ujumbe wa kuikosoa Qatar. Ujumbe huo uliochapishwa kwenye mitandao ya kijamii Ju . . .
Cuba imethibitisha kuwa raia wake 32 waliuawa wakati wa operesheni ya Marekani ya kumkamata Nicolás Maduro.Nchi inayoongozwa kikomunisti ambayo inategemea mafuta ya Venezuela - ilikuwa ikisimamia uli . . .
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mara, Agostino Magere amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kubainisha kuwa chanzo cha moto huo kinachunguzwa.Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto . . .
Rais wa Marekani Donald TrumP ametoa kauli kali dhidi ya Makamu wa Rais wa Venezuela Delcy Rodríguez akionyesha msimamo mkali wa Washington kuhusu uongozi wa Caracas.Katika mahojiano na vyombo . . .
Watu 114 wameuwa nchini Sudan, baada ya kushuhudiwa kwa makabiliano makali kati ya wanajeshi wa wanamgambo wa RSF, Magharibi mwa jimbo la Darfur kwa kipindi cha wiki moja iliyopita.Madaktari wamethibi . . .
Jumla ya Wapiga Kura 20,851 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki katika uchaguzi wa kuchagua madiwani katika Kata ya Kirua Vunjo Magharibi iliyopo katika Halmashauri ya . . .
Aliyekuwa rais wa Venezuela Nicolas Maduro aliyekamatwa pamoja mkewe Cilia Flores wakati wa operesheni maalum iliyotekelezwa na vikosi vya Marekani anatarajiwa kufikishwa Mahakamani siku ya Jumatatu, . . .
Watu wote 40 waliokufa katika moto uliotokea kwenye baa wakati wa mkesha wa Mwaka Mpya nchini Uswisi wametambuliwa na mamlaka za nchi hiyo.Polisi nchini humo imesema vijana ndio waliokuwa wengi miongo . . .
Mwanamume kutoka kijiji cha Sigomere katika kaunti ya Siaya amepata nafuu na faraja kufuatia kifo cha kusikitisha cha mbwa wake. Mwanamume huyo, aliyetambuliwa kama Charles Otieno Osore, alionyes . . .
Wapiganaji saba wa kundi la waasi wanaotaka kujitenga wameuawa katika mashambulizi ya angani huku muungano unaoongozwa na Saudi Arabia nchini Yemen ukijibu mashambulizi makali dhidi ya Baraza la Mpito . . .
Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro ameondoka hospitalini katika Mji Mkuu wa Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya kufanyiwa upasuaji wa Ngiri mara mbili na kurudishwa Gerezani chini ya ulinzi wa P . . .
Polisi Mkoa wa Morogoro limetoa taarifa kwa umma kuwa linaendelea na uchunguzi wa ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Desemba 31, 2025 majira ya jioni katika Kijiji cha Maseyu, Kata ya Gwata Wilaya y . . .
Serikali ya Gambia imethibitisha kisa cha kusikitisha ambapo Boti iliyokuwa imebeba Wahamiaji zaidi ya 200 imeripotiwa kupinduka usiku wa manane mnamo Desemba 31 ,2025 karibu na Kijiji cha Jinack.Kwa . . .
Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, Ju Ae amekuwa akionekana mara kwa mara na kwa umaarufu mkubwa zaidi kwenye vyombo vya habari vya serikali, jambo ambalo limechochea nadharia kutoka kwa wacha . . .
WALIMU wakuu wa shule za upili sasa wanataka Wizara ya Elimu kutelekeza mfumo wa kitaifa wa kuteua wanafunzi wa Gredi 10 na kukumbatia mfumo ambapo shule zilisimamia uteuzi huo.Walimu hao wanasema mfu . . .
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuvunja rekodi yake yenyewe ya makusanyo kwa kukusanya kodi kiasi cha Sh. Trilioni 4.13 kwa mwezi Desemba pekee sawa na ufanisi wa asilimia 102.9 wa lengo l . . .
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilitaja tukio hilo kuwa “shambulio la kigaidi,” huku ikisema Rais Vladimir Putin amearifiwa.Mamlaka zilizowekwa na Urusi katika eneo la Kherson nchini Ukraine zimes . . .
Mwanzoni mwa mwaka 2026, Somalia inachukua urais wa zamu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Kama ilivyo kawaida, baadhi ya viti visivyo vya kudumu katika chombo hiki cha Umoja wa Mataifa hukali . . .
Kwa mujibu wa Kamandi ya Kusini ya jeshi la Marekani, mashambulizi hayo yalifanyika Jumanne na kulenga msafara wa boti tatu hiuvyo watu wote waliouawa walikuwa ndani ya boti moja.Jeshi la Mareka . . .