DRC na M23 Waanza Usitishaji Mapigano Kupitia Upatanishi wa Angola

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kundi la AFC/M23 wanatarajiwa kuanza leo usitishaji wa mapigano chini ya upatanishi wa Angola, hatua inayolenga kuunda mazingira ya mazungumzo ya kisiasa na kupunguza mvutano wa kijeshi katika maeneo ya mashariki mwa DRC.

Hata hivyo, tukio hili limeibua hofu na maswali miongoni mwa wakazi wa eneo hilo kutokana na historia ya migogoro ya mara kwa mara na hali tete iliyozoea katika mikoa hiyo.

#10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii