Kupumua ni mchakato muhimu sana ambao hauitaji kujifunza: sote tunapumua tangu kuzaliwa na sio lazima tujizoeshe kupumua vizuri. Je, ni kweli? Kulingana na tafiti za hivi karibuni, inaonekana kwamba kuna mbinu fula . . .
Kila Nchi Inataratibu Zake Katika Kutekeleza Mambo Mbali Mbali Lakini Hili Linaweza Kuwa Moja Ya Jambo Litakalo Kuacha Na Maswali Zaidi.Ambapo Nchini Korea Ukiachana Na Kuwa Na Magereza Mahususi Kwaajili Ya Watu Waliofan . . .
WATU wengi wamekuwa wakihangaika sana na matumbo yao kujaa gesi na pengine kuvimba. Leo nakuletea baadhi ya vyakula vya kula ili kuondoa hili tatizo.Kwa njia moja au nyingine, unajikuta tumbo limechafuka kwa kujaa gesi, . . .
VIASHIRIA vya upungufu wa vitamini C vinaweza kujumuisha uchovu, michubuko rahisi, na ukakamavu wa ngozi.Unaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na upungufu huu ikiwa una magonjwa fulani, ikiwa ni pamoja na anoreksia.Vi . . .
Kukoroma husababishwa na sauti inayotokana na mtikiso wa tishu za njia ya juu ya kupitisha hewa shughuli hii inapoendelea, hasa ikiwa njia hii ikiwa nyembamba.Wembamba wa njia hii waweza tokana na kuziba kwa pua, uzani m . . .
Wanaume wa umri wa kadri ambao hushikwa na wasiwasi mwingi wako katika hatari ya kupata ugonjwa wa moyo, kiharusi na kisukari, utafiti umebaini. Watafiti kutoka Chuo cha Harvard Marekani, wamegundua kuwa mwanaume akiwa . . .
Ingawa mara nyingi hufikiriwa kuwa nyanya ni kiungo cha aina mbalimbali za mboga ila tambua kuwa nyanya zifaida mwilini na hizi ndizo faida zake.1. Inaweza kuweka moyo wako katika afya njema Gramu 80 za nyanya hutoa kari . . .
Tatizo la ngozi ya sehemu inayoizunguka macho kubadilika rangi na kuwa nyeusi huwakosesha mabinti wengi usingizi.Hii ni shida ambayo hutokana na sababu mbalimbali kama vile uchovu, kutopata usingizi wa kutosha, kuk . . .
Mojawapo ya faida kubwa za kuogelea ni kwamba hufanya kazi kwa mwili wako wote kuanzia juu kichwani hadi kwenye vidole. Kuogelea: huongeza mapigo ya moyo wako bila wewe kujitutumua zaidi. hujenga misuli hukupa nguvu . . .
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hi . . .
Hatua ya mwanamke wa Kiislamu mwenye umri wa miaka 28 ya kuomba mahakama nchini India kumzuia mme wake kuoa mke mwingine bila ya ridhaa yake ya maandishi kumezua mjadala wa wazi kuhusu mila ya ndoa za mitala miong . . .
Siku moja nzuri mnamo Machi 1986, Richard Pollard alifika Fiji kufundisha katika Chuo Kikuu cha Pasifiki Kusini.Siku moja aliona katika sanduku lake la barua kifurushi kilichotumwa kwake kwa barua ya ndege kikigongwa . . .
Urusi ilijiingiza katika vita miaka 77 iliyopita na vita hivyo vinazidi kukumbukwa katika historia.Vita hivyo, vilivyoanzia Leningrad hadi Crimea, kutoka Kiev hadi Stalingrad, viligharimu maisha ya Warusi milioni 25.Ujer . . .
Milipuko ya ajabu katika Transnistria, jimbo lililojitenga linalodhibitiwa na Urusi katika Moldova linalopakana na Ukraine, imeibua hofu kwamba vita vya Ukraine huenda vinasambaa katika maeneo mengine zaidi. M . . .
Bilionea pekee wa Afrika Mashariki anatoka Tanzania, hii ni kwa mujibu wa ripoti ya kampuni ya utafiti ya New World Wealth and Henley & Partners inayosaidia watu wenye thamani ya juu kupata makazi au uraia k . . .
Kila mwaka, familia nchini Marekani zinawaleta majumbani maelfu ya watoto wanaotoka ndani na nje ya nchi kuwalea. Kumleta nyumbani mtoto mgeni inahitaji kumjengea mazoea. Kumleta nyumbani mtoto wa rangi tofauti ina . . .
Kila mwaka, mamilioni ya Waislamu hufunga wakati wa kutoka kwa jua hadi machweo kwa siku 30 kama sehemu ya likizo ya Ramadhani.Katika miaka ya hivi karibuni, Ramadhani imekuwa ikisherehekewa sanjari na miezi ya kiang . . .
Kapteni Vasyl Kravchuk anatabasamu kwa urahisi licha ya kuvumilia siku 50 za vita.Anaunganishwa kwenye a Video ili kufanya mahojiano haya kutoka kituo chake cha anga, katika eneo lisilojulikana nchini UkraineAnajua kwa . . .
Utakuta maelfu ya makala zikielezea jinsi binzari ya manjano zinavyoweza kutibu magonjwa kama kiungulia, kukosekana kwa uwezo wa tumbo wa kusaga chakula, kisukari, huzuni na maradhi ya ubongo ya Alzheimer.Inaweze hata . . .
Wageni wanaotembelea Rwanda mara nyingi huvutiwa kupata nchi ambayo mambo yanaonekana kufanya kazi kwa ufanisi. Ni nadhifu na mwonekano wa kijani kibichi - na huduma ya wi-fi ni nzuri katika mji mkuu, Kigali.Kila . . .
Ni saa 2.00 usiku, kwenye kibanda cha kuonyesha video maarufu kwa jina la ‘kibanda umiza’ eneo la Semtema, Manispaa ya Iringa.Katika kibanda umiza panafurika sana siku za mechi kubwa, ama za Ulaya au Simba na Yanga n . . .
"Ninaamini kwamba kuungana na Urusi ni lengo letu la kimkakati na matarajio ya watu. Tutachukua hatua zinazofaa za kisheria katika siku za mbeleni. Jamhuri ya Ossetia Kusini itakuwa sehemu ya nchi ya kihistoria - . . .
Kila mwaka Machi 08, Umoja wa Mataifa husheherekea haki zilizopatikana kwa bidii za wanawake- na kuangazia changamoto ambazo bado ziko mbele katika kukomesha ubaguzi wa kijinsia katika karibu nyanja zote za mais . . .
Vladimir Putin anapunguza idadi ya watu waliokaribu nae, na kusababisha jeshi la Urusi kuwa katika vita vya hatari ambavyo vinatishia kuharibu uchumi wa nchi yake.Mara chache anaonekana kutengwa zaidi alipoonekan . . .
Huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ukiendelea, athari za kiuchumi kutokana na vita vinavyoendelea tayari zimeanza kujitokeza kote ulimwenguni na Afrika hazijaachwa nyuma.Mwandishi wa Habari za Biashara wa BBC A . . .