Tanzania kwa muda mrefu imekuwa mfano wa utulivu na mshikamano katika Afrika mashariki. Hata hivyo ,kama ilivyo katika mataifa mengine yanayotumia mifumo ya demokrasia ,chaguzi ,mijadara ya kisera ,natofauti za kiit . . .
WANASAYANSI wamebaini umri halisi ambao ubora wa mbegu za kiume huanza kudorora, hali inayoongeza uwezekano wa wanaume kuwarithisha watoto wao mabadiliko ya kijeni yanayosababisha magonjwa mbalimbali.Utafiti mpya uliocha . . .
Katika enzi hizi ambapo mawasiliano hutegemea simu za mkononi, wataalamu wanasisitiza kwamba unavyotumia kifaa hiki kwa mwenzi wako inaweza kujenga uhusiano wenye afya au kuusambaratisha kabisa.Huku simu zikiwa sehemu ya . . .
KOROSHO ni muhimu sana katika mwili wa binadamu. Kwa Tanzania zao hili hulimwa kwa wingi katika mikoa ya pwani hasa Mtwara, Lindi na Pwani. Wengi wetu hatuli korosho na hata pale tunapokula, hula kama kitafunwa cha . . .
KILA wakati baada ya kula chakula, watu wengi hutumia kichokonoo (toothpick) kuondoa mabaki ya chakula katikati ya meno.Hata hivyo, Dkt Serah Wanza, mtaalamu wa afya ya meno katika hospitali ya Versatile Dental Solutions . . .
UTAFITI mpya umeonya kwamba mtoto anapotumia sana vifaa vya kielektroniki, hasa pale shida hii inapoambatana na kiwango kidogo cha usingizi, kunaweza kuongeza hatari ya kupata matatizo ya moyo na kimetaboli baadaye maish . . .
Ni viumbe wa ajabu, wenye upara, wanaishi chini ya ardhi wakiwa na mwonekano unaofananishwa na soseji yenye meno, na sasa wataalamu wamefichua siri ya kijenetiki kuhusu siri ya wanyama hao kuishi maisha marefu.Utafiti mp . . .
Homa ya mapafu ni miongoni mwa magonjwa ambukizi yanaongoza kwa kusabisha vifo vingi miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.Mary Wanjiku Murimi, mama wa watoto wanne, anaishi kusimulia jinsi mwanawe alia . . .
UWEZO wa mwanamke kupata mimba hupungua kwa kasi kuanzia katikati ya umri wa miaka 30, jambo ambalo limekuwa likiwasumbua wanasayansi kwa muda mrefu.Kwa miaka mingi, watafiti waliamini kuwa chanzo kikuu cha kupungua kwa . . .
Katika Maisha ya kila siku Maneno kama hekima na akili hutumika kwa pamoja kana kwamba yana maana moja ambapo Watu wengi husema " Yule mtu ana akili nyingi au ana hekima kubwa" .Hatahivyo ukichunguza kwa undani ,Ma . . .
Kilio katika msiba ni tukio la kawaida duniani Kote,. Nisauti ya huzuni,upendo na hisia ambazo maranyingi maneno hushindwa kueleza. Watu hulia si kwasababu ni dhaifu ,bali kwasababu mioyo yao imeguswa na tuki . . .
Profesa Kokuletage Ngirwa,Aurelia Kamuzora huyo ni Tanzania na ni miongoni mwanchi zinazotambulika kwa uzalishaji wa kahawa bora barani Afrika. Miongoni mwa mikoa vinara katika zao hili ni kagera ,yenye historia nd . . .
Kuna mambo mengi yasiyopaswa kufanywa na mjamzito na leo tutadodosa kwa pamoja kama ifuatavyo:Kunywa PombeMwanamke mjamzito hapaswi kunywa pombe. Unywaji wa pombe kwa mjamzito husababisha mjamzito kujifungua kabla . . .
Shukrani za kipekee zimuendee Mungu kwa kutuwezesha kuiona salama ya leo, ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko vizuri na unaendelea kulisongesha mbele gurudumu la maendeleo yakao.Wataalamu wengi wa masuala ya mape . . .
SIKU hizi ugomvi kwenye mahusiano imekuwa kama ni jambo la kawaida. Watu wanagombana kwelikweli. Utakuta mtu haipiti mwezi mmoja bila kugombana na mpenzi wake. Anampenda, hayupo tayari kumpoteza lakini maisha yao ki . . .
JE, baada ya kushabikia kinywaji kilichositiriwa na chupa ya plastiki, huwa unafanya nini na chupa hiyo?Wengi huweka chupa za plastiki kwenye mapipa au kwenye majaa. Cha kushangaza zaidi, wapo wanaozitupa kiholela barabr . . .
Mboga ya cornflower (pia hujulikana kama bachelor's button au Centaurea cyanus kwa jina la kisayansi) si tu mmea wa mapambo, bali pia ina faida kadhaa kiafya na kiafya: Faida za mboga ya cornflower:1. Husaidia kusaf . . .
KARATASI za plastiki au nailoni zinazidi kuwa kero kuu katika mataifa mengi kutokana na athari zake kwenye mazingira.Nchi nyingi ulimwenguni, Kenya ikiwemo zimepiga marufuku matumizi ya karatasi za plastiki zinazotumiwa . . .
Maji ni msingi wa afya ya mwili. Yana jukumu la kusafisha sumu mwilini, kusaidia mmeng’enyo wa chakula, kulinda afya ya ngozi, kudhibiti presha, na kuweka mwili ukiwa na nguvu. Ndiyo maana kila mtu anatakiwa kunywa maj . . .
UKUZAJI wa mikonge ni shughuli inayohitaji maandalizi mazuri ya shamba, uteuzi wa miche bora, na uvumilivu kwa sababu zao hili ni la kudumu na hukaa shambani kwa zaidi ya miaka kumi.Mchakato huanza kwa kuandaa shamba. En . . .
USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo wanasaliti na wenzi wao kutogundua kama wanasalitiwa.Siku zote anaye . . .
Kwa muda mrefu, majirani na marafiki walinicheka kwa sauti ya chini kila waliponiona. Walijua ndoa yangu ilikuwa janga. Mume wangu hakuwa tena yule mtu niliyekutana naye siku za mwanzo. Alikuwa amegeuka kuwa mtu wa hasir . . .
Supu ya kongoro ni moja ya vyakula vinavyopendwa sana barani Afrika, hususan Tanzania, ambapo mara nyingi huliwa hasa asubuhi au baada ya shughuli nzito. Licha ya ladha yake tamu, supu hii pia imejipatia umaarufu kwa sif . . .
UKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa kidogo ili mambo yaende. Wanaitumia hiyo kama silaha wakidai kwamba wanawake ni wa . . .
Faida ya kula utumbo wa taulo (ambao pia hujulikana kama utumbo mkubwa, au kwa Kiingereza tripe) ni nyingi kiafya, hasa pale unapopikwa vizuri na kwa usafi. Hapa chini ni baadhi ya faida kuu za kula utumbo huu Chanz . . .