Idadi ya vifo vya wahamiaji wasio na vibali waliotelekezwa kwenye trela lenye joto kali mjini Texas imepanda hadi 51 jana Jumanne, huku Rais Joe Biden akiwalaumu wale aliowaita wahalifu wenye utaa . . .
Wanajeshi wa Sudan wamefyatua mizinga wakati wa makabiliano katika eneo la mashariki lilalozozaniwa ambalo linapakana na Ethiopia. Hayo ni kwa mujibu wa afisa mmoja wa Ethiopia, ikiwa ni tukio la . . .
Zaidi ya watu 100 wengi wao wakiwemo wanawake wameuawa kwenye kambi moja nchini Syria katika muda wa miezi 18 pekee Umoja wa Mataifa ulisema Jumanne ukizitaka nchi kuwarejesha makwao raia wao. . . .
Takriban watu 46, wanaoaminika kuwa wahamiaji, wamepatikana wamefariki kwenye lori lililotelekezwa viungani mwa San Antonio, Texas. Afisa wa zima moto alisema watu 16 wakiwemo watoto wanne pia wam . . .
Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watoto waliokufa kutokana na mitetemeko ya ardhi nchini Afghanistan sasa imefikia 155. Asasi ya misaada ya Umoja huo, OCHA imesema watoto wengine wapatao 250 wa . . .
Mwili wa mchimba dhahabu Tom Okwach ulipatikana Jumapili, baada ya siku 205, tangu timbo la Abimbo, Kaunti ya Siaya, kuporomoka Desemba 2, 2021. Wakazi walikuwa wakichimba mtaro karibu na t . . .
Gleycy Correia ni aliyekuwa Miss Brazil mwaka 2018 ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 27 baada kufanyiwa upasuaji (sajari) kutoa mafindofindo. Kwa mujibu wa vyombo vingi vya habari vya . . .
Maafisa wawili wa polisi waliuawa na mmoja kujeruhiwa katika shambulizi dhidi ya kituo cha polisi kaskazini magharibi mwa Benin siku ya Jumapili duru za polisi zilisema. Mashambulizi ya karibun . . .
Urusi imesema vikosi vyake vimechukua udhibiti kamili wa mji wa mashariki mwa Ukraine wa Sieverodonetsk. Wizara yake ya Ulinzi imesema vikosi vyao vimechukua pia udhibiti wa mji jirani wa Bor . . .
Maelfu na maelfu ya Wamarekani wameandamana Jumamosi siku moja baada ya Mahakama Kuu kugeuza sheria ya miaka 50, maarufu kwa jina la Roe V. Wade, inayompatia mwanamka haki ya kutoa mimba. . . .
Tetemeko kubwa la ardhi limetikisa mashariki mwa Afghanstan mapema leo na kusababisha vifo vya karibu watu 920. Maafisa wamesema mamia ya watu wamejeruhiwa na na kuwa idadi ya vifo inatarajiwa kup . . .
Iran iliwanyonga zaidi ya watu 100 katika miezi mitatu ya kwanza ya 2022, hali ya kutisha ambayo inazidi kuongezeka, kulingana na ripoti ya katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres iliyo . . .
Ofisa mtendaji katika kata moja wilayani Siha mkoani Kilimanjaro na mgambo, wanadaiwa kuwatembezea kipigo wanafunzi wanne na kusababisha kifo cha mmoja wao anayesoma kidato cha pili.Marehemu ambay . . .
Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini . . .
Mamia ya watu wameandamana Jumapili katika mji mkuu wa Tunisia wakipinga mpango wa kura ya maoni kubadili katiba na hatua ya hivi karibuni ya Rais Kais Saied ya kuwafukuza kazi darzeni ya majaji . . .
Karibu watu 20 wameuawa katika shambulio linaotuhumiwa kutekelezwa na wapiganaji wa kijihadi kaskazini mwa Mali, ofisi ya kikanda katika eneo hilo inasema.Ghasia za Jumamosi zilitokea karibu na . . .
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza mashtaka yanayowakabili ikiwemo uhujumu uchumi . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameapa leo Jumapili kuwa vikosi vyake havitomuachia yeyote eneo lake la kusini baada ya ziara yake ya kwanza katika maeneo hayo. Wakati huohuo, Katibu Mkuu wa Ju . . .
Wanajeshi wa Sri Lanka walifyatua risasi katika mji wa Visuvamadu, karibu kilometa 365 kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Colombo ili kudhibiti ghasia katika kituo cha mafuta ambako kulishuhudiw . . .
Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edward Mwaikali aliyeondolewa katika kanisa hilo, wamesusia ib . . .
Kundi la waasi limewashambulia na kuwaua wanakijiji 7 kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati, taifa ambalo linaandamwa na vita kwa miaka kadhaa.Duru za polisi kwenye eneo hilo zimesema . . .
Marekani imelaani vikali matamshi yaliyotolewa na maafisa wa chama tawala nchini India cha BJP kuhusu mtume Mohammed ambayo yamezusha hasira na ukosoaji mkubwa kutoka mataifa ya kiislamu.Msemaji w . . .
Polisi wa Nigeria wamesema wamewaokoa wasichana 35 kutoka hoteli walimokuwa watumwa wa ngono na kisha kulazimishwa kupata ujauzito na kujifungua na hapo baadae kuwauza watoto wao. . . .
Wakati Serikali ikisema uwekaji mipaka katika pori la Loliondo unaendelea vizuri, Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ameendelea kulalamika kutojulikana walipo viongozi 10, akiwamo mwenyeki . . .