Wanakijiji 11 wa kijiji cha Chang’ombe kilichopo kwenye kata ya Segera wilayani Handeni, leo Januari 14, 2025 wamefariki dunia na kujeruhi wengine 11 kwa kugongwa na lori lenye namba za usajil . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limefanikiwa kuwakamata na kuwafikisha Mahakamani Watuhumiwa wawili ambao ni Mapacha, Danford Steven Seif (24) na Daniel Steven Seif (24) wote Wakulima na Wakazi wa Mraus . . .
Watu tisa, wakiwemo maafisa wa polisi wanane na dereva mmoja, wameuawa katika mlipuko wa bomu uliotekelezwa na waasi wa Mao katika wilaya ya Bijapur, jimbo la Chhattisgarh, India. Tukio hilo lilitokea . . .
Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea siku ya Jumanne katika eneo la Himalaya la Tibet, kusini-magharibi mwa China, limesababisha vifo vya watu wasiopungua 53 na kusababisha kuporomoka kwa "majengo meng . . .
Babu wa bondia Hassan Mgaya aliyefariki dunia hivi karibuni na chanzo kikiwa ni kupata majeraha kichwani na kupelekea kufariki Dunia.Bondia huyo alifariki dunia baada ya kupigwa TKO katika raund . . .
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata, Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimb . . .
Mtoto wa mfanyabiashara maarufu jijini Dodoma anayejulikana kwa jina la Jojo, Graison Kanyenye (6), anadaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akiwa matembezini usiku wa kuam . . .
Madaktari wa Palestina wamesema shambulizi la Israel mapema Alhamisi limewaua wanahabari watano katika kambi ya Nuseirat katikati mwa Gaza.Kituo cha Televisheni cha Al-Quds, chenye uhusiano na kundi l . . .
Ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan iliyokuwa imebeba watu 67 imeanguka karibu na mji wa Aktau nchini Kazakhstan na kusababisha vifo vya watu 38 waliokuwa ndani, kwa mujibu wa Mamlaka za Kazakhsta . . .
Zaidi ya wafungwa 1, 500 wametoroka katika gereza moja nchini Msumbiji, wakitumia fursa ya machafuko ya kisiasa yanayoendelea yaliyochochewa na matokeo ya uchaguzi wenye utata, polisi wamesema.Watu 33 . . .
Mkazi wa Kigamboni Vicent Masawe(36)maarufu kwa jina la ‘Bwana harusi’ amepandishwa Mahakamani kisutu akikabiliwa na mashtaka mawili.Mshtakiwa huyo.amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kis . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema linachunguza taarifa ya kifo cha mwanafunzi mmoja wa chuo Kikuu cha Dodoma – UDOM, ambaye alifariki kwa maji.Taarifa ya Kamanda w Polisi Mkoani humo, Alex M . . .
Zaidi ya wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini waliuawa au kujeruhiwa katika mapigano dhidi ya vikosi vya Ukraine, kamati ya wakuu wa majeshi ya Korea Kusini (JCS) imesema leo Jumatatu (Desemba 23)."Tuna . . .
Takriban Watu 38 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 hawajulikani walipo nchini Kongo, baada ya kivuko walichokuwa wakisafiria kilichozidisha mzigo kupinduka katika mto Busira, wakati wakirudi ny . . .
Askari Polisi wawili wa wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Desemba 18, 2024, katika majibizano ya risasi kati yao na mtuhumiwa wa ujambazi baada ya kufika nyumbani k . . .
#HABARI Happyness Khalfan (30) mkazi wa Kata ya Mwendakulima wilayani Kahama mkoani Shinyanga, amekatwa na kitu cha ncha kali katika mkono wake wa kushoto na mumewe Charles Peter mkazi wa Mwendakulima . . .
eshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema December 15,2024,lilimpata na kumshiklia Vicent Peter Massawe maarufu Baba Harusi Mkazi wa Kigamboni kwa tuhuma za kujipatia fedha kwa njia ya uda . . .
WAKAZI wa kijiji cha Bulesa, eneo la Merti katika kaunti ya Isiolo wamemuua mamba aliyemshambulia na kummeza mvulana mmoja aliyekuwa akilisha mifugo wao karibu ni mto Ewaso Ng’iro.Walipa . . .
Watu 38 wameuawa Magharibi mwa jimbo la Darfur nchini Sudan, baada ya wanamgambo wa RSF kutumia ndege isiyokuwa na rubani, kutekeleza shambulio hilo.Wanamgambo wa RSF wamerusha makombora manne kuwalen . . .
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Zuberi Habibu, Mkazi wa Kijiji cha Mandudumizi B, Kata ya Zombo, Kilosa mkoani Morogoro, anashikiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa tuhuma za mauaji ya w . . .
Waandishi wa habari 54 waliuawawakiwa kazini au kwa sababu ya kazi zao duniani kote mwaka 2024, ikiwa ni pamoja na theluthi moja ya jeshi la Israel, hasa huko Gaza, kulingana na ripoti ya kila mwaka y . . .
Takribani Watu wasiopungua 127, wengi wao wakiwa ni raia wameuawa nchini Sudan kufuatia mapigano kati ya jeshi na Wanamgambo wa RSF.Taarifa za vyombo vya Habari zinasema wengi wao wameuawa katika mji . . .
Mkuu wa Tume ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Volker Turk ameeleza kwamba watu 184 waliuawa wikendi iliopita nchini Haiti wakati magenge yenye silaha yalipoongeza kasi ya vurugu.Utovu wa us . . .
POLISI nchini Tanzania, wanamzuilia mwanamke mmoja aliyekamatwa kwa kuhifadhi mwili wa pasta wa kanisa lake kwa miezi miwili ndani ya nyumba akisubiri afufuke.Katika tukio lililowaacha wakazi wa . . .