Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mh. Fadhili Nkurlu na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara,Viwanda na kilimo Tanzania Wilaya ya Songwe ameongoza Mkutano wa Baraza la Biashara la Wilaya lililofanyika katika . . .
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA),imesema kuwa kupitia mifumo ya ukaguzi na ufuatiliaji wa bidhaa katika soko iliyowekwa imebaini uwepo katika soko wa Dettol za maji bandia zenye ujazo wa 50m . . .
Mafanikio katika sekta ya madini ni pamoja na kuongezeka kwa uzalishaji wa madini kutoka tani 7.9 mwaka 2020 hadi tani 42.5 mwaka 2025 hivyo jumla yamadini yaliyopatikana ni tani 50.4.Hii imechangia k . . .
BENKI ya NMB imeikabidhi Wizara ya Kilimo Sh milioni 100 kusaidia maandalizi ya Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kwa jina la Nanenane.Kiasi hicho ni sehemu ya jumla ya Sh milioni . . .
MAONESHO ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanaendelea yakitoa fursa kwa washiriki kuonesha bidhaa zao, huduma na teknolojia kwa lengo la kufi kia masoko mapya na kutafuta fursa mpya.Sam . . .
Taasisi ya TAMISA (Tanzania Mining industry suppliers Association) leo imefanya uzinduzi wa kamati ya masoko na mawasiliano ambayo itaongozwa na Dr Sebastian Ndege.Akizungumza kwenye uzinduzi huo, Dr. . . .
Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imepata hati safi (inayoridhisha) hatua iliochangiwa na uwepo wa ushirikiano baina ya madiwani na watalaamu pamoja na halmash . . .
Katika mnada wa hivi karibuni, bei ya juu ilikuwa Sh 2,710 na bei ya chini ilikuwa Sh 2,510 kwa kilogramu moja. Tani 3,000 ziliingizwa sokoni na kushindaniwa na wanunuzi.Mkulima wa ufuta kijijin . . .
SERIKALI imebani kuwa kiwango cha kuuza nyama nje ya nchi kimeongezeka kutoka tani 1,000 hapo awali hadi 14,000 mwaka 2025.Akizunguma hayo leo Juni 16, 2025 katika mahojiano maalum na waandishi . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua zoezi la Kampeni ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo Kitaifa, Juni16, 2025 Mjini Bariadi, mkoani Simiyu.Hayo yam . . .
Mbunge wa Sumve Kasalali Mageni ameibua hoja kuhusu ongezeko la wafanyabiashara kutoka mataifa ya Asia hususan China akisema kuwa pamoja na wingi wao wamekuwa na tabia ya kukwepa kodi. Mageni amezung . . .
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara imefanikiwa kusaidia wakulima kulipwa kiasi cha shilingi milioni 79.8 ambazo walikuwa walikuwa wakizidai kutoka kwenye baadhi ya Vyam . . .
Waziri wa Ujenzi amewaonya vikali makandarasi wanaoshindwa kukamilisha miradi ya ujenzi kwa wakati kwa sababu ya uzembe huku akisema Serikali haitawavumilia wala kuwaongezea muda hata siku moja .  . . .
Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema Maafisa wa usalama kwa kushirikiana na Mamlaka nyingine za udhibiti wamefanikiwa kukamata madini ya almasi ghafi yaliyokuwa yanatoroshwa kinyume cha sheria na . . .
Wakulima wa mazao ya biashara mkoani Simiyu, wameazimia kutumia mfumo wa stakabadhi ghalani kuuza mazao yao, ili kukabiliana na ulaghai unaofanywa na walanguzi wa mazao hayo wanaowasababishia hasara.M . . .