Mwanadada mmoja mzaliwa wa Kenya aliyejitabulisha kwa jina Catherine almaarufu 'Kutu' Mkenya, amefunguka wazi na kusimulia upendo wake kwa msanii kutokea Tanzania Harmoni . . .
Member wa Kings Music Records Abdukiba amefunguka hawezi kuhama nyumbani kwao kwa sababu ya Mama yao ambaye hayupo tayari kuwaona wakiwa wanaishi tofauti tofauti pia anap . . .
Msanii wa muziki wa rap Sean "Diddy" Combs ametuhumiwa kwa ubakaji na biashara ya ngono na mwimbaji wa kike.Katika kesi iliyoonekana mpenzi wa zamani Casandra Ventu . . .
Mke wa zamani ambaye pia ni Mama watoto wa mwimbaji Jose Chameleone kutoka Uganda, Daniella Atim bado ana matumaini kwamba anaweza kupata mapenzi tena.Daniella Atim kwa m . . .
Mr Eazi ameachia albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la ‘The Evil Genius’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu.Video za albamu hiyo imechukuliwa katika maeneo . . .
Staa wa Afrobeats wa Nigeria Rema amewashukuru mashabiki wake kwa kuja kumtazama akitumbuiza kwenye onyesho lake la “Ravage Uprising” 02 Arena jijini London siku ya J . . .
Staa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB Wasafi, Diamond Platnumz ametangaza rasmi kuwa alhamis November 16, 2023 atamtambulisha Mkali mwingine mpya ambaye amemwaga wino . . .
Licha ya kucheleweshwa mara kadhaa, Ty Dolla $ign ameahidi mashabiki kwamba albamu yao inakuja hivi karibuni, "Coming Real Soon". Alitoa habari hizi wakati wa show yake, . . .
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Nabeer ambaye alikuwa ni Dereva wa gari lililombeba mwanamuziki @chino_kidd7 na wenzake amefariki duniaNabeel amefariki dunia Alfajir . . .
Msanii Zuchu hatimaye amevunja kimya chake ikiwa ni siku chache tu baada ya walimu wakuu wawili kushushwa vyeo vyao kufuatia klipu ya wanafunzi katika shule zao wakicheza . . .
Wasanii wa Afrobeat kutokea nchini Nigeria mwaka huu 2023 wameshiriki kutoa burudani kwenye matukio mengi makubwa.Burna Boy alifanya show kwenye fainali ya Ligi ya Mabing . . .
Baada ya ‘timu’ ya wanasheria wa ‘rapa’ Tory Lanez kutoka Canada kupeleka ombi la kumuachia msanii huyo kwa dhamana huku wakisubiri rufaa, ombi hilo limekataliwa. . . .
Staa wa muziki ambaye ni mshindi wa tuzo nyingi, Davido, amemjibu msanii mwenzake, Oyindamola Emmanuel, maarufu kwa jina la Dammy Krane kuhusiana na madai ya madeni ambay . . .
Msanii huyo asiyeishiwa vituko anasema kwa sasa ana mtoto mmoja, mwingine yupo njiani kuja na itabaki idadi ya watoto 10 kuwapata.Ikumbukwe mtoto wake huyo mmoja alimpata . . .
Mtayarishaji wa muziki Bongo, S2Kizzy amethibitisha kufanya kazi na Rihanna na kusema wimbo huo ukiwa tayari watu watausikia.Miezi michache iliyopita, S2kizzy alisema kwa . . .
Muimbaji na mwandishi wa nyimbo Uingereza na duniani Ed Sheeran tayari ameshajichimbia kaburi lake ambalo ikitokea siku amefariki atazikwa hapo.Mshindi huyo wa tuzo 4 za . . .
Kuna vita ya maneno inaendela chini kwa chini kati ya Drizzy Drake na rapa wa zamani Joe Budden ambaye ni mtangazaji kwa sasa nchini Marekani.Vita hiyo imeanza baada ya J . . .
Kanye West 'YE' ambaye kuna clips videos zake zimevuja kupitia Documentary yake ya 2018 akiwazungumzia wasanii Cardi B, Nas, Teyana Taylor na Pusha P.Moja ya clip video i . . .
Msanii wa Kenya Femi One ametoa saa 72 za kuombwa msamaha na rappers wa Tanzania ambao wamemdiss kwenye ngoma zao kupitia Challenge aliyoanzisha rapa Khaligraph baada ya . . .
Ni baada ya kuvuka Nusu Fainali katika Mashindano hayo ya Kusaka Vipaji ambapo sasa watashindana na The 82nd Airborn Division All American Chorus, Avantgardey, Chibi Unit . . .
Rapa na muimbaji wa Marekani Desiigner yupo kwenye kifungo cha nje na uangalizi kwa miaka miwili, kufanya kazi za kijamii na kulipa faini ya Tsh Milioni 12,525,000 kwa ko . . .
Wasanii maarufu ambao pia ni wapenzi, Selena Gomez wa Marekani na Rema wa Nigeria wameshinda MTV Video Music Award 2023 (VMAs). Wawili hao walituzwa kwa vifaa vya kumeta . . .
@officialzuchu .. . . .
Staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa 'Rayvanny' amethibitisha kwamba siku sio nyingi atamuoa mpenzi wake wake Fahyma.Kauli hiyo ya kishujaa ameitoa usiku wa kuamkia leo . . .
Nyota wa Afrobeat, Davido amenunua neckless mpya kusherehekea mafanikio ya albamu yake ya Timeless.Pendenti iliyotengenezwa kwa almasi iliundwa na chapa ya kifahari ya Lo . . .
Mnanishauri kitu ? Nikutana nae? Nimfanye nini maana mimi ndio Mtu kanipost mara nyingi na kanizushia sana kuhusu kuchafua hali ya hewa?Au nioe tu na yeye tupate kulea Wa . . .
Nyota huyo wa Hip Hop na R&B mwenye asili ya Canada amehukumiwa kifungo baada ya kupatikana na hatia ya makosa 3 ikiwemo kumpiga Risasi Rapa wa Kike #MeganTheeStallio . . .
Kitu ambacho wengi hawakutegemea ni kumuoa mdogo wake @officialalikiba kwenye video moja na @diamondplatnumz wakiimba ngoma ya SUMU ya @officiala . . .
Mama wa Beyonce, Tina Knowles, amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake wa pili, Richard Lawson, baada ya miaka nane ya ndoa yao.Tina, mwenye umri wa miaka 69, a . . .
Rapa maarufu Bongo, Rosa Ree amesema muziki wake unasafiri na kuwafikia watu ambao yeye binafsi hakutarajia.Staa huyo ambaye kwa sasa analea mtoto wake, amesema alipoenda . . .
HomeTrending GossipMwimbaji Willy Paul atangaza kuachana na Miss PMwimbaji Willy Paul atangaza kuachana na Miss PUdaku Special July 05, 2023recommended byNATURE'S BO . . .
Mkurugenzi mkuu wa lebo ya Next Level Music, Rayvanny amejitokeza waziwazi na kukana kuwa na akaunti yoyote kwenye mtandao wa Facebook, licha ya kuwepo na akaunti yenye j . . .