Juma Jux Ashinda Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume wa Afrika Mashariki kwenye AFRIMA

msanii maarufu wa RnB JUMA JUX kutoka Tanzania, anayejulikana kwa midundo yake ya kipekee na mashairi yenye hisia, amejivunia ushindi wa kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Afrika Mashariki kwenye AFRIMA 2026 iliyofanyika Lagos, Nigeria.

Katika kipengele hiki kilichojaa ushindani mkali, Jux aliibuka washindi akiwashinda mastaa wakubwa wa kanda, wakiwemo:

  • Diamond Platnumz – Tanzania

  • Bien – Kenya

  • Marioo – Tanzania

  • Bluce Melodie – Kenya

  • Mbosso – Tanzania

Ushindi huu unaashiria umaarufu na kipaji cha kipekee cha Juma Jux, akithibitisha kuwa ni moja ya sauti za muhimu zaidi katika muziki wa Afrika Mashariki.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii