Christian Bella amepewa uraia wa Tanzania

Msanii maarufu wa muziki wa Bongofleva wenye ladha ya R&B na Afro-pop Christian Bella amepewa uraia wa Tanzania.

Hayo yamesemwa leo disembs 18 mwska huu jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene  ikiwa ni siku ya wahamaji duniani.

AAidha Simbachawene amesema kuwa  Tanzania kuna idadi kubwa yMsanii maarufu wa muziki wa Bongofleva wenye ladha ya R&B na Afro-pop, Christian Bella amepewa uraia wa Tanzania.

Hata hivyo ameelaza kuwa msanii huyo anafanya kazi vizurihana makosa, amefuata utaratibu na muda wote alioishi hapa amelipa malipo stahiki, siyo wengine wanaolanda landa tu,” amesema Simbachawene.

Amesema mtu anaweza kupewa uraia na ukafutwa kama hatafuata utaratibu: “Hatuwezi kumpa uraia mtu ambaye ni hatari ama anayegeuka kuwa hatari, kwa hiyo kuna ‘vetting’ imefanyika kabla ya mtu kupewa uraia.”

Awali, Bella alikuwa raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambaye ameishi Tanzania kwa muda mrefu akifanya shughuli za kisanii.a wahamiaji na baadhi yao wamekuwa wakipewa .

Anafanya kazi vizuri, hana makosa, amefuata utaratibu na muda wote alioishi hapa amelipa malipo stahiki, siyo wengine wanaolanda landa tu,” amesema Simbachawene.

Amesema mtu anaweza kupewa uraia na ukafutwa kama hatafuata utaratibu: “Hatuwezi kumpa uraia mtu ambaye ni hatari ama anayegeuka kuwa hatari, kwa hiyo kuna ‘vetting’ imefanyika kabla ya mtu kupewa uraia.”

Itakumbukwa kuwa awali Bella alikuwa raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambaye ameishi Tanzania kwa muda mrefu akifanya shughuli za kisanii.

#10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii