Kylian Mbappe ameifikia rekodi ya Cristiano Ronaldo ya kufunga magoli 33 katika msimu wake wa kwanza akiwa Real Madrid baada ya kufunga magoli mawili katika ushindi wa 3- . . .
Baada ya golikipa wa timu aya Taifa ya Kenya Harambee Stars Patrick Matasi kusimamishwa kwa tuhuma za upangaji wa matokeo, @hoseamchopa ameongea na nyota wa zamani . . .
Klabu ya AmaZulu FC ya Afrika Kusini imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa kutoka DRC, Jean Baleke!Mchezaji huyo amesaini mkataba rasmi baada ya kusafiri hadi . . .
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania ( . . .
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto, amesema tayari wamejibu barua ya Yanga na hawana mamlaka ya kuwazuia kwenda CAS lakini kama wameenda CAS kwa kipindi hiki ambap . . .
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Dk. Patrice Motsepe, amechaguliwa tena kuliongoza Shirikisho hilo kama Rais kwa kipindi cha miaka minne ijayo.Motsepe am . . .
hirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevifungia viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza), na Liti (Singida) kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu Tanzania Ba . . .
Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji, ameweka wazi kuwa mechi ya watani wa jadi kati ya Yanga SC na Simba SC, iliyokuwa imepangwa kufanyika Machi 8, 2025, haitapangiwa . . .
Shirikisho la soka la kimataifa (FIFA) limetangaza kusimamisha shirikisho la soka la Congo (FECOFOOT), hivyo kupiga marufuku timu ya taifa ya Congo na vilabu kushiriki ka . . .
Mshambulizi wa Al Nassr Cristiano Ronaldo amefanya mahojiano na Canal 11, ambapo alisisitiza hamu yake ya kucheza kwenye uwanja sawa na mwanawe, Cristiano Jr. Hata hivyo, . . .
Inaelezwa kuwa timu nne Barani Afrika Orlando Pirates, MC Alger, Wydad Casablanca na Al Ahly Benghazi zinawinda saini ya kiungo wa Yanga SC, Stephan Aziz K raia wa Burkin . . .
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limetangaza ongezeko la asilimia 75 kwa atakayebeba Kombe la CHAN ambapo mshindi sasa atapata Dola za Kimarekani Milioni 3.5.CA . . .
Ushindi wa mabao 3-0 walioupata Manchester City dhidi ya Leicester City umerejesha matumaini ya kikosi cha Pep Guardiola kilichoanzafa vibaya kwa msimu huu. Ushindi huo n . . .
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia miaka mitano kujihusisha na mpira wa miguu Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mpira . . .
Mtoto King John Mseke (9) ambaye ni Mtoto wa Msanii Staa wa Hiphop Tanzania Joh Makini ( @JohMakiniTZ ), amewasili katika Academy ya Club ya Manchester City iliyopo Jijin . . .
Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limethibitisha kuipatia Saudi Arabia haki za kuwa nchi mwenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA la 2034 huku Uhispania, Ureno na Morocco wakit . . .
SERIKALI imesema inaangalia uwezakano wa kuwapa Simba na Yanga ndege moja kwa ajili ya kwenda nchini Algeria katika michezo yao ya Kimataifa ya hatua ya makundi ya Ligi y . . .
BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu ya Kandanda Uingereza (Epl) Manchester City wamejikuta katika hali ambayo hawajazoea miaka ya hivi karibuni.Mechi ya Jumanne ya Kipute cha Klab . . .
SHIRIKISHO la Kandanda Duniani (FIFA), lilizindua rasmi muundo mpya wa ‘FIFA Club World Cup’ mnamo Novemba 14, 2024.Shirikisho hili linachukulia hii kuwa hatua kubwa . . .
Mwaka 2019 - Rais wa Shirikisho la Soka Ghana alimfukuza Kazi Kwesi Appiah na rasmi hakua tena kocha wa Ghana. Sababu ya kufukuzwa ilikua kutumia ‘Wachezaji wasiojulika . . .
YANGA imeanza mikakati ya kuimarisha safu yake ya ushambuliaji katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15 mwaka huu ambapo jina la mshambuliaji Bayo Aziz . . .
Ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Ireland unamfanya kocha wa mpito wa Uingereza Lee Carsley kuendelea kufanya vyema katika kibarua chake tangu akabidhiwe kibarua . . .
Timu ya KMC imemtangaza kocha kali ongala kuwa kocha mpya wa timu hiyo baada ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha mkuu wa KMC FC Abdihamid Moalin.Timu ya KMC imemtangaza . . .
Mkuu wa PGMOL Howard Webb anasema beki wa Arsenal William Saliba alitolewa nje kwa kadi nyekundu ipasavyo dhidi ya Bournemouth. Maafisa wa Mechi Mic'd Up pia anazungumzia . . .
Baada ya YANGA kususia uwanja wa Azam Complex, na kutangaza kuhamia uwanja wa KMC Complex. CEO wa Azam, Abdulkarim Amin 'Popat' aliita kikao cha dharula kwa wafanyakazi w . . .
1.poor signing of players in two years Huu ni mfano namba Moja ambao mmefeli kwa kwa kiasi kikubwa coz sajili za wachezaji wengi kwa asilimia kubwa hazijalipa.2. Bad . . .
Makocha wa Simba SC na KMC wameongea na waandishi wa habari kuelekea mchezo utakaoziktanisha timu zao siku ya kesho Novemba 6 kwenye uwanja wa KMC Complex Mweng . . .
Mkurugenzi wa michezo wa Arsenal Mbrazil Edu Gaspar anatarajiwa kuondoka Arsenal baada ya kuwasilisha barua ya kuacha kazi kwenye Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo . . .
Kocha wa Liverpool Arne Slot ameweka wazi kuwa wanayo nafasi ya kushinda ubingwa wa mkombe yote ambayo timu yake inashiriki msimu huu wa 2024-2025. Slot ameyasema hayo al . . .
Kocha huyo anayefundisha Sporting Lisbon ambayo ni Mabingwa watetezi wa ligi ya Ureno na ndiyo vinara wa ligi hiyo msimu huu wa 20245-2025 ikiwa na alama 27, katika miche . . .
Stephen amewahi kushinda tuzo ya MVP mara mbili amekuwa na historia ya kuumia kifundo cha mguu wake mara kwa mara amefunga alama 18 huku . . .
Thomas Tuchel kocha wa zamani wa Chelsea ya England ametangazwa na FA ya nchi hiyo kuwa kocha wao mkuu baada ya Gareth Southgate kujiuzulu mwezi Julai 2024. Kikosi c . . .
Baada ya juzi uongozi wa Kagera Sugar kutangaza kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu, Paul Nkata, nyota wa zamani wa Simba na Yanga, Juma Kaseja  . . .