Wakati sherehe za utoaji wa Tuzo za shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF Awards 2025) zilizofanyika kwa kishindo na kushuhudia wachezaji, makocha, marefa na timu mbalimbali zikitambuliwa kwa mafanikio ya mwaka.
Ambapo mwaka huu Morocco tena imeendelea kung’ara kwa namna ya kipekee katika tuzo nyingi, huku Afrika Mashariki pia ikipata mwakilishi kupitia bao la mwaka.
Washindi wa Tuzo za Wanaume (Men’s Categories)
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii