Klabu ya Juventus imemfuta kazi kocha wao Mkuu Igor Tudor baada ya kupoteza wa Serie A dhidi ya Lazio kwa goli 1-0. Igor alijiunga na Klabu hiyo mwezi Machi 2025 akichukua nafasi ya Thiago Motta.
Juventus mpaka sasa wamepoteza michezo miwili, sare 3, ushindi 3 katika michezo 8 huku wakishinda nafasi ya 8 kwa alama 12 tofauti ya alama 6 dhidi ya vinara Napoli wenye alama 18.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii