Liverpool inamfukuzia Semenyo Bournemouth

Mohamed Salah anatarajiwa kuichezea timu ya taifa Misri katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwezi Desemba na Januari, huku Liverpool ikiendelea kuhusishwa na mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Bournemouth Antoine Semenyo, 25, ambaye nchi yake Ghana ilishindwa kufuzu.

Liverpool pia inapanga kuwasilisha dau la kumsajili kiungo wa kati wa AZ Alkmaar wa Uholanzi Kees Smit,19

#Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii