Mchezaji Atekwa na Kuuawa Senegal Baada ya Familia Kushindwa Kulipa Ransom

Kipa kinda wa soka wa Senegal Cheikh Toure (18) ametekwa na kuuwawa na watu wasiojulikana baada ya kumtengenezea mtego kuwa anaenda kufanya majaribio ya soka la kulipwa.

Cheikh ametekwa na kuuwawa nchini Ghana ambapo taarifa za kifo chake zimethibitishwa Jumamosi hii na wizara ya mambo ya nje ya Senegal.

Uamuzi wa watekaji kumuua ni baada ya familia yake kushindwa kuchangisha fedha za kumgomboa, kwani walimteka wakidai walipwe pesa ili wamuachie akiwa hai.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii