Pasi Milioni" Kwa ubora huu wa Simba kuiangalia bure ni dhambi"

Shabiki wa klabu ya Simba maarufu kwa jina la Pasi Milioni leo katika hamasa za klabu ya Simba amefunguka juu ya suala la mashabiki wa simba kumgomea Ahmed Ally kuingiza mashabiki bure Uwanja wa Benjamini Mkapa.

Pasi Milioni anadai kuwa kuiangalia Simba ni dhambi kutokana na ukubwa na ubora wa timu hiyo.

#10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii