GRACE OF AFRICA YAZINDUA WIMBO MPYA “NGUVU YANGU (MY STRENGTH)

Grace of Africa yazindua rasmi  wa wimbo wao mpya wa injili, “Nguvu Yangu (My Strength)”, unaohamasisha imani, tumaini, na nguvu ya ndani.

Wimbo huu, uliotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya AI Pamoja na ubunifu halisia, unachanganya sauti za kisasa na ujumbe wa kiroho, ukikumbusha wasikilizaji kwamba nguvu na ujasiri hutoka kwa Mungu.

”‘Nguvu Yangu’ si wimbo tu  ni ujumbe wa shukrani na uvumilivu,” Grace of Africa.


Uzinduzi wa wimbo huu unaungwa mkono na kampeni ya kidijitali kupitia mitandao ya kijamii na ushirikiano na wanamitandao ili kufikisha ujumbe wa matumaini kwa wasikilizaji wengi.

“Nguvu Yangu (My Strength)” sasa inapatikana kwenye majukwaa yote makuu ya muziki mtandaoni.

Je ni jambo gani linakufanya upate nguvu ya kuinuka tena..toa maoni yako.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii