Jennifer Lopez amefunguka kuhusu moja ya nyakati ngumu zaidi katika maisha yake ya kazi, akieleza jinsi alivyolazimika kukimbizwa hospitalini baada ya mwili wake kuchoka . . .
Nyota wa vipindi vya Televisheni na mjasiriamali, Kim Kardashian, anaendelea kuishi maisha ya kifahari yanayoakisi utajiri wake unaokadiriwa kufikia dola bilioni 1.9 za M . . .
siasa za Nigeria zinaingilia tasnia ya burudani na ulimwengu wa muziki. Miezi saba kabla ya uchaguzi mkuu ujao, chama tawala cha All Progressives Congress (APC) kinashutu . . .
Msanii na mfanyabiashara maarufu wa muziki Sean Combs, anayejulikana pia kama Diddy, ameongezewa tena punguzo la muda wake wa kifungo huku tarehe yake ya kuachiliwa gerez . . .
Mwanamitindo na mfanyabiashara maarufu, Zari Hassan, ametangaza rasmi kuachana na mume wake, Shakib Cham, baada ya kuwa pamoja kwa takribani miaka mitano.Zari amethibitis . . .
Tasnia ya sanaa ya maigizo nchini Tanzania imegubikwa na simanzi kufuatia taarifa za kifo cha muigizaji Mkongwe Issa Joseph maarufu Mzee Onyango.Mzee Onyango alikuwa mion . . .
Kim Kardashian ameonekana akimpa sapoti mpenzi wake Lewis Hamilton wakati wa mazoezi ya kufuzu kuelekea Monaco Grand Prix 2026 iliyofanyika katika Circuit de Monaco, Mont . . .
Sakata limeibuka ndani ya Familia ya Kifalme ya Uingereza kati ya Prince William na Queen Camilla kufuatia maandalizi ya harusi ya Peter Phillips.Kwa mujibu wa ripoti za . . .
Msanii wa muziki nchini ambae anafahamika kwa jina la Gachi amezua furaha na gumzo mitandaoni baada ya kupewa zawadi ya gari jipya jipya aina ya Range Rover, tukio lililo . . .
Mashabiki wa msanii wa Afrika Kusini, Tyla, wameibua taharuki mtandaoni baada ya nyota huyo kuzima akaunti zake za X na TikTok huku akiifanya akaunti yake ya Instagram ku . . .
Rapper Drake anaripotiwa kukataa kuingiza Album zake tatu kwenye mchakato wa kuwania tuzo za Grammy, licha ya mafanikio makubwa aliyoyapata kupitia album hizo zilizotikis . . .
Mwanamitindo Jasinta Makwabe ameibua mjadala mtandaoni baada ya kuweka wazi kuwa hawezi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye amemzidi urefu.Kauli hiyo imezua maoni to . . .
Taarifa zinazosambaa mtandaoni zinadai kuwa mwigizaji maarufu wa Nigeria Alexx Ekubo amefariki akiwa na umri wa miaka 40, hali ambayo imeacha mashabiki na tasnia ya filam . . .
Katika tukio lililovuta hisia za mashabiki wengi, Cardi B na Stefon Diggs wameonekana pamoja tena katika hafla ya Siku ya Akina Mama iliyofanyika Washington, D.C., iliyoa . . .
Msanii wa muziki na filamu Bongo, Lulu Diva, usiku wa kuamkia leo Mei 8, 2026 ameibua gumzo kubwa mitandaoni baada ya kuweka wazi hisia zake kwa msanii wa singeli ku . . .
Msanii wa filamu na video vixen maarufu, Careen Simba, amezua gumzo mitandaoni baada ya kutangaza rasmi kuwa amekubali kuchumbiwa.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Caree . . .
Muimbaji maarufu kutoka Nigeria, Tekno, amewapa mashabiki wake habari njema baada ya kutangaza ujio wa album yake mpya aliyoipa jina “Where Did Love Go?”. Tangaz . . .
Mbunifu chipukizi mwenye kipaji kikubwa, Samia Khan, ameendelea kuvutia hisia za wengi baada ya kuonesha ubunifu wake wa kipekee katika jukwaa la Shindano la Top Model nd . . .
Rapa Offset ameibua utata mpya katika kesi yake ya talaka na Cardi B baada ya kudai kupimwa DNA kwa mtoto mdogo wa msanii huyo ili kubaini uhalali wa . . .
Msanii mkongwe wa muziki wa dancehall, Shaggy, hivi karibuni alifanya mahojiano na chanzo kimoja cha habari, ambapo alizungumzia safari yake ya muziki na sababu ya kudumu . . .
Msanii mkongwe wa Dancehall kutoka Kenya, Redsan, ametangaza rasmi tamasha lake kubwa litakalofanyika baadaye mwaka huu, akilenga kuandika historia mpya katika . . .
Tamasha kubwa la muziki la Wireless Festival limefutwa rasmi baada ya Rapa Ye (zamani akijulikana kama Kanye West) kuzuiwa kuingia nchini Uingereza kufuatia historia ya k . . .
Staa wa reality TV Kim Kardashian na bingwa wa dunia wa Formula One, Lewis Hamilton, hatimaye wameweka wazi uhusiano wao hadharani kupitia mtandao wa Instagram.Wawili hao . . .
Kuna siku unakaa tu na unataka kuangalia kitu chenye maana sio tu burudani, bali kitu kinachokufanya ufikirie kidogo kuhusu maisha. Filamu za Yesu zina nguvu hiyo. Zinaku . . .
Msanii wa muziki wa RnB kutoka nchini Kenya, Bridget Blue, ameendelea kuthibitisha ubora wake katika tasnia ya muziki baada ya kuachia albamu yake mpya aliyoipa jina . . .
Msanii maarufu wa muziki wa mtindo wa rapa na mwenye asili ya Kongo, Maitre Gims, amewekwa kizuizini nchini Ufaransa ili kuhojiwa kuhusiana na uchunguzi wa “utakatishaj . . .
Msanii wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Chris Brown, ameibua mjadala mitandaoni baada ya kuweka ujumbe mfupi katika ukurasa wake wa Insta Story kwenye Instagram akis . . .
Msanii wa hip hop kutoka Canada, Drake, ameendelea kuthibitisha ubora wake katika muziki wa kimataifa baada ya kutajwa kuwa rapa anayeuza zaidi duniani kwa miaka 11 mfulu . . .
MWANAMUZIKI kutoka nchini Kenya Bahati hatimaye amekutana na mwanamke anayedaiwa kuwa ni Mama yake Judith Makokha na kuchukua hatua ya kwenda kupima naye vinasaba (DNA).M . . .
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Fatma Omary ‘Gachi’ hivi karibuni ameibuka hadharani na madai mazito yanayomhusisha rafiki yake wa karibu, Yammi, katika kuvunjika kwa mah . . .
Mwanamuziki mkongwe nchini Tanzania, Mzee Steven Hizza, maarufu kwa wimbo wake wa “Tanzania Yetu Ndiyo Nchi ya Furaha,” amefariki dunia jioni ya jana Jumatatu katika . . .
Chris Brown ameandika historia mpya katika tasnia ya muziki duniani baada ya ziara yake ya Breezy Bowl XX kutajwa rasmi kuwa tour iliyoingiza mapato makubwa zaidi kuwahi . . .
Tamasha kubwa la muziki la kimataifa, Sauti za Busara, linalofanyika visiwani Zanzibar, limeendelea kuthibitisha hadhi yake kama moja ya matamasha makubwa na yenye mvuto . . .