Msanii wa filamu na video vixen maarufu, Careen Simba, amezua gumzo mitandaoni baada ya kutangaza rasmi kuwa amekubali kuchumbiwa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Careen ameweka picha akiwa amevalia pete ya uchumba, akimshika mpenzi wake ambaye hakumtaja wazi, na kuandika ujumbe mfupi uliogusa hisia za wengi: “I said yes to my forever