Wasira ateta na mama Maria Nyerere

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam leo Februari 18, 2026

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii