Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amewakosoa baadhi ya viongozi wa Serikali wanaoibuka na kusema kero za wananchi zimeisha kwa kile alichodai huo ni uongo kero za wananchi haziishi bali hupungua.Aki . . .
Mkutano wa nne wa Kimataifa wa Ufadhili wa Maendeleo umefunguliwa siku ya Jumatatu hii, Juni 30, huko Seville, nchini Uhispania, huku kukiwa na upungufu mkubwa wa misaada ya maendeleo, hasa kutokana n . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeadhimisha miaka 65 ya uhuru siku ya Jumatatu, Juni 30. Wakati wa hotuba yake kwa taifa, Mkuu wa Nchi Félix Tshisekedi amezungumza kwa kirefu kuhusu mkataba w . . .
Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Jacob Rombo amewasihi watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuzingatia maadili ya kutunza siri za Utumishi wa Umma kwa kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo iliyowekwa na . . .
Leo julai mosi kwenye Kipindi cha MchakaMchaka amesikika Mkuu Usalama Barabarani Wilaya ya Ilemela DTO Kilimbida Thomas Kilimbida na kueleza mkakati madhubuti wa kuanza kupima madereva katika si . . .
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka ya kukizuia Chama hicho kushiriki shughuli za siasa kwenye mwaka wa uchaguzi . . .
Kiongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Tanga, Mwajuma Mohamed amechukua na kurejesha fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Korogwe Vijijini.Mwajuma ambaye ni Mjumbe Kitengo cha Walimu . . .
Rais mstaafu wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Dkt Elisha Osati amechukua fomu ya kuwania uteuzi kwa ajili ya kugombea ubunge kwenye jimbo la Mbagala katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.Osati . . .
Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu ambayo imeguswa na mzozo mkubwa wa ukwasi unaohusishwa kwa kiasi kikubwa na kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani, imelazimika kuta . . .
Leo Juni 30,2025, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amekabidhi ofisi kwa mkuu mpya wa mkoa huo Kenan Kihongosi. 8Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko kwenye na . . .
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Mkuchu, amekamilisha hatua ya awali ya kugombea nafasi ya udiwani kwa kurejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Kata ya Kunduchi, jijini Dar es Sal . . .
MWANASOKA wa zamani wa timu ya Yanga SC, Ally Msigwa, amejitosa rasmi katika mbio za kisiasa baada ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama . . .
Siku moja baada ya Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) kumpata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kada wa chama hicho na aliyewahi kuwa Mbunge wa Mwibara mkoani Mara, Mutamwega Mgaywa a . . .
Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga amelaani vikali wito wa waziri wa usalama nchini Kenya Kipchumba Murkomen kwa polisi kuwafyatulia risasi watu watakaojaribu kukaribia vituo vya polisi na ku . . .
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Doto Biteko amewasili Kigali nchini Rwanda, kushiriki mkutano unaohusu masuala ya nyuklia Afrika.Mkutano huo unaoanza Juni 30 hadi Julai 2025, unajumui . . .
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Said Shaib Mussa amempokea Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Shirikisho la Somalia, . . .
Rais wa Kenya William Ruto amepuuzilia mbali wito ambao umekuwa ukitolewa na waandamanaji na viongozi wa upinzani kumtaka ajiuzulu na kuwapa changamoto ya kutoa mpango mbadala ufaao badala ya kuchoche . . .
WANAWAKE katika Kaunti ya Taita Taveta wamemtaka Gavana Andrew Mwadime kuomba msamaha kwa matamshi ya kuwadhalilisha.Hii ni baada ya Gavana Mwadime kudai kuwa wanawake warefu katika kaunti hiyo wameol . . .
ALIYEKUWA Mbunge wa Iringa Mjini kwa miaka 10, Mchungaji Peter Msigwa, amechukua fomu kuwania ubunge Iringa Mjini—safari hii akitokea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).Ametangaza dhamira yake . . .
Fadhili Fabian Ngajilo, mwanasiasa mwenye rekodi ya utumishi wa muda mrefu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo amechukua rasmi fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa mara ya tat . . .
Mwandishi wa habari mwandamizi wa habari za uchunguzi aliyejikita kutetea haki za binadamu, Cosmas Makongo amechukuwa fomu ya kuwania kugombea ubunge wa Jimbo la Chato Kaskazini.Makongo aliyewah . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, imemhukumu Shabani Mohamed (27), mkazi wa Mchangani, kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili ya kumbaka na k . . .
Wageni 250 wanatarajiwa kushiriki katika utoaji Tuzo za Utalii Duniani Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi kwa mwaka 2025 (World Travel Awards 2025) huku Tanzania ikiingia kwenye kinyang’anyiro vipen . . .
HIVI karibuni serikali ilitoa takwimu zikionesha utumikishwaji wa watoto umepungua kutoka asilimia 29 mwaka 2014 hadi asilimia 24.9 mwaka 2021.Hata hivyo, ilisema licha ya takwimu kuonesha kupungua hu . . .
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepiga marufuku kwa mwanachama yeyote anayeomba kugombea uongozi kualika kundi la wapambe kumsindikiza kwenda ofisi za chama kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea.Pia, . . .
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Bonanza la Wizara ya Nishati na taasisi zake litakalofanyika kesho jijini Dodoma.Akizungumzia maandaliz . . .
Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imebaini mbinu mpya inayotumiwa na wasafirishaji wa dawa za kulevya kwa kutumia pipi za watoto kama kificho ili kufanikisha . . .
Tuzo za Utalii Duniani (WTA) kwa Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi mwaka 2025 zitafanyika Jumamosi, Juni 28, 2025 jijini Dar es Salaam huku Tanzania ikiwania vipengele 50.Akizungumza leo Alhamisi, Ju . . .
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kuongeza safari za treni kati ya Dodoma na Dar es Salaam kwa tarehe 27 na 28 Juni 2025. Safari hizo zimeongezwa ili kukidhi mahitaji ya usafiri kwa wananchi . . .
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu leo Juni 27,2025 amefika katika Mahakama ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kesi yake dhidi ya Jamhuri.Lissu amefungua kesi hiyo namba 14496/20 . . .