Dr Sebastian Ndege Ahamasisha Juu Ya Upimaji Wa Afya

Mkurugenzi Wa Jembe Media Limited Dr Sebastian Ndege Ahamasisha Juu Ya Upimaji Wa Afya Kwa Vitendo Na Kuonyesha Mfano.

Ikiwa Ni wiki ya dunia kuadhimisha mapambano dhidi ya VVU Ni muhimu kujali Afya zetu kwa kupima Mara kwa Mara.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii