MIAKA 10 YA JEMBE FM

Asante kwa safari ya miaka 10 ya kuwa nasi pamoja kama familia moja yenye, upendo, na ushirikiano! Kutoka Jembe FM, tunasema asante kwa wasikilizaji wetu, wadau, na timu nzima iliyoifanya ndoto hii kuwa kweli.

Miaka 10 ya pamoja bado tupo nawe kama familia moja na  tunakila sababu ya kusema Ahsante kwa Time kutusikiliza, kutufatilia, na kutukumbatia Daimai.  #familiamoja #AhsanteKwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii