Wabunge wachapana makonde live Bungeni baada ya kutokea ubishani wakati wa mjadala juu ya Sheria ya tozo ya Miamala ya Kidijitali
Ugomvi huo ulianza baada ya Mbunge wa Upinzani kumzuia Msaidizi wa Spika kunyanyuka kwenda kupiga kura. Chama cha Upinzani cha NDC kinapinga mapendekezo ya tozo ya 1.75% kwa Miamala kikidai tozo hizo zitaathiri Watu wa kipato cha chini.