1. KARIBU UTANGAZE BIASHARA AU SUALA LAKO NA SISI ... TUNAFIKIA WENGI NDANI NA NJE YA NCHI

  • MWANZA 93.7MH/z |
Jembe Burudani

MIAKA 22 YA SAUTI ZA BUSARA YAZAA TAMASHA JIPYA FUTOPIA

“Kuanzishwa kwa Tamasha la Futopia hakumaanishi tumeliacha Sauti za Busara,” alisema Lorenzo, Mkurugenzi wa Busara Promotions, . . .

Jembe Michezo

Je wajiandaaje na siku ya mwananchi leo

Mwananchi day ni tamasha la vibe duniani ndani ya uwanja wa Mkapa leo ni vibe kama lote, na tayali mashabiki wa Yanga SC washaanza . . .

Hii hapa orodha ya Wafungaji Bora wa Mataifa Mbalimbali Afrika

Safari ya mafanikio huanza kwa kuituma kwa kile ambacho unakifanya kwenye maisha yako ya kila siku. Hapa Afrika kuna wachezaji wen . . .

Jembe Habari

Waafrika kuingia Burkina Faso bure kuanzia sasa

 SERIKALI ya Burkina Faso imetangaza kufuta ada za viza kwa raia wote wa nchi za Afrika, hatua inayolenga kurahisisha usafiri . . .

Zifahamu familia za kihalifu zinazotikisa mpya sasa

Hizi ndizo familia maarufu za kihalifu (mafia) zilizoanza zamani lakini bado zinahusishwa na shughuli haramu hadi leo kimya kimya: . . .

Habari Zote
Mastaa

Lulu Diva Afunguka Kuhusu Tuhuma za Kutoka na Ex wa Mobetto

Staa wa muziki na filamu Bongo, Lulu Diva @luludivatz amefungukia tuhuma za kutoka kimapenzi na aliyekuwa X wa Hamisa Mobetto, Kel . . .

Kimataifa

Sudan Kusini kuwarejesha wahamiaji nchini mwao

 SERIKALI ya Sudan Kusini imesema ipo katika mazungumzo na baadhi ya nchi za kigeni ili kuwarejesha wahamiaji waliopokelewa kutoka Mare . . .

Kimataifa

Waafrika kuingia Burkina Faso bure kuanzia sasa

 SERIKALI ya Burkina Faso imetangaza kufuta ada za viza kwa raia wote wa nchi za Afrika, hatua inayolenga kurahisisha usafirishaji wa w . . .

Afrika Mashariki

Machar afunguliwa mashtaka Sudan Kusini

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, amefunguliwa mashtaka mazito ya mauaji, uhaini na uhalifu dhidi ya binadamu, hatua in . . .

Siasa

Kesi ya Kabila kuamuliwa leo DRC

 MAHAKAMA Kuu ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) inatarajiwa leo kutoa uamuzi wa kwanza kuhusu mashtaka yanayomkab . . .

Kitaifa

Wananchi wa wilayani Kyerwa washauliwa kuacha tabia ya kutunza fedha majumbani

 Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Ismail Ali Ussi amewashauri wananchi wa wilayani Kyerwa mkoani Kagera kuacha tabia ya kutunza fed . . .