logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Michezo

  • Pata Habari za Michezo Kwa Undani
news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • February 18, 2026

Serikali Yaidhinisha Marekebisho ya Katiba ya Simba

Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya Simba Sports Club baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa chin . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • February 16, 2026

Makonda Amtaka Msajili Kukamilisha Mchakato wa Mabadiliko Simba

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amemtaka Msajili wa Vyama vya Michezo nchini, Abel Ngilangwa, kukamilisha mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 13, 2026

Kenya yaashiria kuunga mkono kuahirishwa kwa AFCON 2027

Kenya imeashiria uwezekano wa kuunga mkono hatua ya kuahirisha mashindano hayo kutokana na uwezekano wa kuzuka kwa vurugu zinazohusiana na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufa . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • February 12, 2026

Real Madrid Yampoteza Bellingham kwa Jeraha la Hamstring

Real Madrid imepokea pigo baada ya kiungo wake nyota, Jude Bellingham, kupata jeraha la misuli litakalomuweka nje ya uwanja kwa muda.Nyota huyo wa England alipata maumivu . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • February 11, 2026

Rashford Aondoka Rasmi kwenye Mipango ya United, Carrick Aweka Msimamo Wazi

Manchester United wanaonekana kuendelea na mipango yao ya muda mrefu bila kumjumuisha Marcus Rashford, huku hatma ya mshambuliaji huyo ikizidi kuelekea kwenye u . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • February 11, 2026

Simba Yathibitisha Kuondoka kwa Kibu ‘Mkandaji’

Klabu ya Simba SC imethibitisha kwamba mshambuliaji wake, Kibu Dennis, hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo, akihitimisha utumishi wake wa misimu minne na nusu akiwa n . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • February 10, 2026

RC Shigela: Hakuna Mwekezaji Katika Uwanja wa CCM Katoro

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martin Shigela, ametangaza rasmi kuwa hakuna mwekezaji halali katika eneo la uwanja wa mpira wa CCM Katoro eneo ambalo lilizua taharuki kati y . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • February 5, 2026

Simba Yakamilisha Mchakato wa Kumuacha Kibu Denis Ajiunge na Al Nasr Libya

KLABU ya Simba SC ipo hatua za mwisho kukamilisha makubaliano ya kumuuza mshambuliaji wake, Kibu Denis, kwenda klabu ya Al Nasr ya Libya.Chanzo cha kuaminika kutoka ndani . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • February 4, 2026

Ronaldo Agoma Kuichezea Al Nassr, Asema Inanyanyaswa

Nyota wa Ureno Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuanza mgomo wa kuichezea Al Nassr akionya kuwa endapo malalamiko yake hayatashughulikiwa, yuko tayari kuondoka katika klabu . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • February 3, 2026

Refa Abongile kuchezesha FAR Rabat vs Yanga

Refa wa kimataifa mwenye historia ya “bahati” kwa klabu za Kaskazini mwa Afrika zinapocheza nyumbani, Tom Abongile kutoka Afrika Kusini, amepangwa kuchezesha mchezo w . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 30, 2026

Senegal: Serikali inapanga kukata rufaa dhidi ya vikwazo vya CAF dhidi ya kocha Pape Thiaw

Kufuatia vikwazo vilivyotangazwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), siku kumi na moja baada ya mchezo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika uliokuwa na ushindani m . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 30, 2026

Jeshi la Polisi Latoa Taarifa Kuelekea Mchezo wa Yanga na Al Ahly Kesho

Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasmi kuelekea mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Young Africans SC  na Al Ahly ya Misri unaotarajiwa kuchezwa ka . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 29, 2026

CAF Yawaadhibu Senegal, Morocco kwa Vurugu

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limechukua hatua kali dhidi ya timu za Senegal na Morocco kufuatia vurugu zilizojitokeza katika mchezo wa fainali ya AFCON 2025 . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 29, 2026

Arteta Awaomba Mashabiki Utulivu

Arteta aliongeza kuwa mazungumzo hayo yalikuwa ya kutia moyo na yamewapa wachezaji imani mpya, akibainisha kuwa Arsenal ipo katika nafasi nzuri ya kupigania mataji manne . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 29, 2026

Simba Yawataka Mashabiki Kuungana Dhidi ya Esperance ya Tunisia

Msemaji wa Simba Sports Club, Ahmed Ally ametoa wito mzito kwa Wanasimba kuacha lawama na migawanyiko huu akisisitiza kuwa huu ni wakati wa mshikamano na mapambano kwa aj . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 29, 2026

Uwanja wa KMC Wafungiwa na TFF kwa Kukosa Vigezo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa KMC uliopo jijini Dar es Salaam kutotumika kwa michezo ya Ligi kuu baada ya kubaini kuwa haukidhi vigezo . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 28, 2026

Senegal yasema uhusiano na Morocco "umepindukia hisia"

Waziri Mkuu wa Senegal Ousmane Sonko amesema uhusiano na Morocco ni "imara zaidi kuliko hisia" siku chache baada ya vurugu zilizozuka wakati mataifa hayo yalipokabiliana . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 28, 2026

Morocco Yapokonywa Fursa ya Kuandaa Fainali ya Kombe la Dunia 2030

Morocco haitakuwa tena mwenyeji wa mechi ya fainali ya Kombe la Dunia la FIFA kwa mwaka  2030 kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati wa fainali ya Kom . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • January 27, 2026

Tetemeko La Liga: Sergio Ramos Ajiandaa Kuinunua Sevilla

Kwa mujibu wa ripoti ya Cadena SER gwiji wa soka wa Hispania, Sergio Ramos, amefikia makubaliano ya kimsingi na wanahisa wa klabu ya Sevilla FC kuhusu ununuzi wa kla . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 27, 2026

JKT Tanzania Yaongoza Ligi kuu kwa Kadi Nyingi za Njano

Wakati ikiendelea kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, timu ya JKT Tanzania imeibuka pia kuwa kinara wa kupata kadi nyingi za njano mpaka sasa msimu huu.Maafande h . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 26, 2026

Aliyekuwa Kipa wa Taifa Stars na Yanga, Peter Manyika Amefariki

Aliyekuwa kipa wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na Klabu ya Yanga SC, Peter Manyika amefariki dunia alfajiri ya leo katika Hospitali ya St. Monica jijini Dar es . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 23, 2026

Yanga Yatwaa Tuzo Mbili za Desemba

KLABU ya Young Africans (Yanga) imeendelea kung’ara katika Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kutwaa tuzo mbili za mwezi Desemba 2025, ambazo ni Kocha Bora na Mchezaji Bor . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 23, 2026

Yanga Kutafuta Ushindi wa Kihistoria Ugenini kwa Al Ahly leo Last updated Jan 22, 2026

Klabu ya Yanga inajiandaa kuingia uwanjani siku ya leo Januari 23 ili  kuikabili Al Ahly SC ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrik . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 23, 2026

Freiburg yafuzu 16 bora Stuttgart yayumba Ligi ya Ulaya

Klabu ya Ligi Kuu ya Ujerumani Freiburg usiku wa kuamkia leo imeendeleza msururu wake wa kutofungwa katika mechi za Ligi ya Ulaya kwa kuilaza Maccabi Tel Aviv 1-0 na kuji . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

Simba Yatua Tunisia, Yajinasibu Kuzaliwa Upya

Klabu za Simba na Yanga zinaendelea na maandalizi ya michezo ya raundi ya tatu ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku Simba ikitangaza kuzaliwa upya baada ya usajili mpya, na Y . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

Uhaba wa Makipa bora Tanzania walaumiwa mafunzo duni na kudharau ushauri wa Wakongwe

 Uhaba wa makipa bora unaoonekana katika soka la Tanzania kwa sasa umetajwa kuchangiwa na kukosekana kwa mafunzo sahihi ya kitaalamu, kuvunjika kwa misingi ya maende . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

Kane aipeleka Bayern katika hatua ya mtoano

                        Mshambuliaji wa Bayern Munich Harry Kane, ameifungia timu yake mabao mawili katika ush . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 20, 2026

Simba yamtambulisha Ismael Toure

Katika kuhakikisha kikosi cha Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba Sports  kinarejea kwenye ubora wa juu timu hiyo imemtambulisha rasmi, Ismael Toure na tayari nyota h . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 19, 2026

Rais wa Senegal Atangaza Mapumziko Baada ya Kushinda AFCON

Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye ametangaza mapumziko ya kitaifa kufuatia ushindi wa kihistoria wa timu ya taifa ya soka Teranga Lions katika michuano ya Kombe la Ma . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 15, 2026

Afcon: Senegal kuchuana na Morocco kwenye mechi ya fainali

Senegal na wenyeji Morocco ndio wamefuzu hatua ya fainali kwenye mashindano ya Kombe la Afrika AFCON baada ya kushinda mechi zao za nusu fainali Jumatano usiku.Simba wa T . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 14, 2026

Man United Yakubaliana na Michael Carrick Kuwa Kocha Mkuu wa Muda

Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya mdomo na Michael Carrick kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Kocha Mkuu wa muda hadi mwisho wa msimu.Makubaliano hayo yanak . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 13, 2026

Brighton Wamaliza Mkataba na Mshambuliaji wa Tanzania Aisha Masaka

Klabu ya Brighton & Hove Albion inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini England haitaendelea na mshambuliaji wa Kitanzania, Aisha Masaka, msimu ujao baada ya mkataba . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 11, 2026

Tanzania yajiandaa kiuchumi ,na kimaandishi kwa AFCON 2027 inayo karibishwa pamoja na Kenya na uganda.

Tanzania pamoja na Kenya na Uganda,imepata nafasi ya kipekee yakuwa mmoja wa wenyeji wa mashindano ya kombe la mataifa ya kombe la mataifa ya Afrika ( AFCON) mwaka 2027,t . . .

Kurasa 4 ya 31

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Athari za kuvalisha mtoto viatu kabla hajaanza kutembea

    • 20 dakika zilizopita
  • Shirika la afya la AU laitaka Marekani kuondoa vikwazo vya usafiri dhidi ya Uganda

    • 25 dakika zilizopita
  • Trump apokea miili ya wanajeshi wanne wa Marekani waliouawa Mashariki ya kati

    • 27 dakika zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode