Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya amefungiwa michezo mitatu pamoja na kutozwa faini ya Tsh milioni 1 baada ya kukutwa na kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa&n . . .
Bayern Munich ndio mabingwa wa ligi kuu ya Ujerumani "Bundesliga" msimu huu, baada ya kupata ushindi siku ya Jumapili wa mabao 4-2 dhidi ya Stuttgart na hivyo kulichukua . . .
Atlético Madrid iko kwenye kiwango cha juu cha mafanikio baada ya kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa (UEFA) na wakati huo huo ikiwa na nafasi ya kunyakuw . . .
Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA) leo inatarajiwa kulindima kwa michezo miwili kupigwa ya robo fainali kwa mkondo wa pili Kwenye uwanja wa Annfield nchini England . . .
Ushiriki wa timu ya taifa ya Eritrea katika michuano ya awali kufuzu kucheza fainali za kombe la mataifa ya Afrika, sasa umeleta maswali zaidi baada ya wachezaji wake 7 k . . .
Tiger Woods amekataa kuiongoza timu ya Marekani Ryder Cup 2027 ili kuzingatia afya yake, baada ya ajali ya gari na tuhuma za kuendesha akiwa amelewa.Nyota wa gofu Tiger W . . .
Bao pekee alilofunga Axel Tuanzebe katika mchezo wa mchujo dhidi ya timu ya Taifa ya Jamaica limetosha kuirudisha DR Congo katika michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyik . . .
Shirika la kimataifa la Amnesty International limeonya kuwa mashindano ya Kombe la Dunia 2026, yanayotarajiwa kuanza Juni 11 hadi Julai 19, 2026 katika Marekani, Canada n . . .
Marekani imedai kuwa mashabiki kutoka Algeria, Senegal, Cape Verde, Ivory Coast na Tunisia wanatakiwa kulipa amana ya dola 15,000( ambapo ni sawa na milioni 38 za Kitanza . . .
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeshuka kwa nafasi tatu katika viwango vya ubora wa soka duniani vinavyotolewa na FIFA, na sasa kushika nafasi ya 113 kutoka 110 . . .
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa adhabu kwa mchezaji wa klabu ya Young Africans SC Djigui Diarra kufuatia ukiukwaji wa . . .
Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limeeleza chanzo cha kufungiwa kwa nyota wa timu ya taifa, Jackline Sakilu, kwa miaka 10 kutokana na ukiukaji wa sheria za michezo. Ath . . .
Mshambuliaji nyota wa Mohamed Salah ametangaza rasmi kuwa ataondoka ndani ya klabu ya Liverpool mwishoni mwa msimu huu, akihitimisha safari ya kihistoria ya miaka tisa nd . . .
Mashindano ya kimataifa ya soka ya FIFA Series 2026 yanaanza rasmi leo Machi 26, 2026 jijini Kigali, huku Rais wa Shirikisho la Soka Rwanda (FERWAFA), Fabrice Shema, akit . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamtafuta kijana mmoja (jina limehifadhiwa) kwa tuhuma za kumuua Abel Mganga Mazuri (25), mkazi wa Nyamahengo, na kuwajeruhi watu wawili. . . .
Mashabiki wa kandanda barani Ulaya wamewasilisha malalamiko rasmi kuhusu gharama kubwa ya tiketi za FIFA World Cup 2026 inayotarajiwa kufanyika Amerika Kaskazini.Malalami . . .
Nyota wa Liverpool FC, Mohamed Salah, ametangaza rasmi kuondoka klabuni hapo kupitia ujumbe wa hisia aliowaandikia mashabiki, akieleza kuwa amefikia uamuzi wa kuanza safa . . .
Manchester United wamejiunga na Tottenham Hotspur katika mbio za kumsajili kiungo na nahodha wa Beşiktaş, Orkun Kökçü, ambaye ameibuka kuwa miongoni mwa wachezaji wa . . .
Nyota wa Liverpool, Mohamed Salah, ametangaza kwamba ataondoka katika klabu hiyo ya England mwishoni mwa msimu, akiashiria kuondoka mapema kuliko ilivyopangwa. Ni mmoja w . . .
Kiungo mshambuliaji wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Elie Mpanzu, ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Simba , hatua inayoimar . . .
Afisa Mkuu wa Serikali ameonya kuwa Kenya iko katika hatari kubwa ya kupokonywa haki ya kuandaa michuano ya Africa Cup of Nations (AFCON) 2027 kutokana na changamoto za k . . .
Hii ni baada ya Bayern kujikatia tiketi ya robo fainali ya Ligi ya Vilabu Bingwa Ulaya kufuatia ushindi wao wa 4-1 dhidi ya Atalanta ya Italia usiku wa kuamkia Alhamis am . . .
Iran imesema iko kwenye mazungumzo na FIFA kuhusu uwezekano wa kucheza mechi zake za FIFA World Cup nje ya United States kufuatia onyo lililotolewa na Donald Trump.Kwa mu . . .
Mahakama nchini Kongo Brazzaville imemkuta na hatia Rais wa Shirikisho la Soka la nchi hiyo, Jean-Guy Blaise Mayolas, kwa makosa makubwa ya kifedha yaliyohusisha utakatis . . .
KOCHA wa zamani wa Harambee Stars Engin Firat ambaye aliaga dunia jana Uturuki, ameombolezwa kama aliyemakinikia kazi yake na mwenye taaluma pevu ambaye mchango wake kwen . . .
Royal Moroccan Football Federation limemtangaza Mohamed Ouahbi kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya taifa ya wanaume ya Morocco national football team maarufu kama The Atlas L . . .
Mshambuliaji wa Real Madrid na Brazil national football team, Rodrygo, atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi saba hadi kumi kufuatia jeraha kubwa, hali itakayomfanya ku . . .
Ndege binafsi ya kifahari ya thamani ya pauni milioni 61 inayomilikiwa na nyota wa soka Cristiano Ronaldo imeripotiwa kuondoka Saudi Arabia kuelekea Madrid usiku wa kuamk . . .
Beki wa klabu ya Ufaransa, Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Morocco, Achraf Hakimi, ameshtakiwa rasmi kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja, wakili wake na mwendesh . . .
Klabu inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani, Bundesliga, Bayer Leverkusen imepiga hatua muhimu katika kutinga raundi ya mtoano ya 16 bora ya Ligi ya Vilabu Bingwa Ulaya.Hii . . .
Kocha mkuu wa Liverpool, Arne Slot, ametoa habari njema kwa mashabiki wa klabu hiyo baada ya kuthibitisha rasmi muda wa kurejea kwa mshambuliaji wao hatari, Alexander Isa . . .
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa linatafuta kampuni moja kwa ajili ya haki za kipekee za ubashiri (exclusive betting rights) katika mechi ya Y . . .
Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya Simba Sports Club baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa chin . . .