Robo fainali ya UEFA mkondo wa pili kulindima leo

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA) leo inatarajiwa kulindima kwa michezo miwili kupigwa ya robo fainali kwa mkondo wa pili 


Kwenye uwanja wa Annfield nchini England klabu ya Liverpool itacheza na timu ya PSG ya Ufaransa majira ya saa nne usiku

Na nchini Uhispania kwenye uwanja wa Riyadh Metropolitano klabu ya Atlético de Madrid itacheza na timu ya FC Barcelona majira ya saa nne usiku

Wakati michezo hiyo ya mkondo wa pili ikitarajiwa kupigwa Liverpool na Barcelona zinaingia kwenye michezo ya leo zikiwa na kumbukumbu y kupoteza kwa mabao mawili dhidi ya wapinzani wao kwenye michezo ya mkondo wa kwanza.

10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii