Shirika la kimataifa la Amnesty International limeonya kuwa mashindano ya Kombe la Dunia 2026, yanayotarajiwa kuanza Juni 11 hadi Julai 19, 2026 katika Marekani, Canada na Mexico, yanaweza kugeuka kuwa “jukwaa la ukandamizaji” ikiwa haki za binadamu na usalama wa mashabiki, wafanyakazi na wakazi wa maeneo yanayoshiriki hayatazingatiwa kikamilifu.
10YrsJembefm #Familiamoja #AhsantekwaTime