Ada ya $15,000 yawagusa mashabiki wa Afrika kuelekea kombe la dunia 2026

Marekani imedai kuwa mashabiki kutoka Algeria, Senegal, Cape Verde, Ivory Coast na Tunisia wanatakiwa kulipa amana ya dola 15,000( ambapo ni sawa na milioni 38 za Kitanzania)ili kuhudhuria Kombe la Dunia 2026, hatua inayozua mjadala mkubwa kuhusu vigezo na usawa kwa mashabiki wa soka duniani.


10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii