Klabu za Simba na Yanga zinaendelea na maandalizi ya michezo ya raundi ya tatu ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku Simba ikitangaza kuzaliwa upya baada ya usajili mpya, na Y . . .
Uhaba wa makipa bora unaoonekana katika soka la Tanzania kwa sasa umetajwa kuchangiwa na kukosekana kwa mafunzo sahihi ya kitaalamu, kuvunjika kwa misingi ya maende . . .
Mshambuliaji wa Bayern Munich Harry Kane, ameifungia timu yake mabao mawili katika ush . . .
Katika kuhakikisha kikosi cha Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba Sports kinarejea kwenye ubora wa juu timu hiyo imemtambulisha rasmi, Ismael Toure na tayari nyota h . . .
Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye ametangaza mapumziko ya kitaifa kufuatia ushindi wa kihistoria wa timu ya taifa ya soka Teranga Lions katika michuano ya Kombe la Ma . . .
Senegal na wenyeji Morocco ndio wamefuzu hatua ya fainali kwenye mashindano ya Kombe la Afrika AFCON baada ya kushinda mechi zao za nusu fainali Jumatano usiku.Simba wa T . . .
Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya mdomo na Michael Carrick kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Kocha Mkuu wa muda hadi mwisho wa msimu.Makubaliano hayo yanak . . .
Klabu ya Brighton & Hove Albion inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini England haitaendelea na mshambuliaji wa Kitanzania, Aisha Masaka, msimu ujao baada ya mkataba . . .
Tanzania pamoja na Kenya na Uganda,imepata nafasi ya kipekee yakuwa mmoja wa wenyeji wa mashindano ya kombe la mataifa ya kombe la mataifa ya Afrika ( AFCON) mwaka 2027,t . . .
Jina la Enzo Maresca, kocha raia wa Italia aliyemaliza hivi karibuni kazi yake na klabu ya Chelsea, limo kwenye orodha ya makocha wanaotajwa kuchukua nafasi ya Ruben Amor . . .
Klabu ya Yanga imeanza rasmi mchakato wa kuwarahisishia wawekezaji na wabia wa kimkakati kuwasilisha barua za kuonesha nia (EOI) kwa ajili ya ujenzi wa uwanja mpya wa kis . . .
Rasmi Antoine Semenyo amesaini mkataba wa kuitumikia Manchester City akitokea klabu ya AFC Bournemouth ya pale pale England.Semenyo anakuwa mchezaji wa nne ghali wa Afrik . . .
Hali ya wasiwasi imetanda katika kambi ya timu ya taifa ya Nigeria, “Super Eagles,” baada ya kuripotiwa kuwa wachezaji wamegoma kufanya mazoezi kutokana na madai ya k . . .
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imeingia hatua ya Robo Fainali ambapo timu nane bora barani Afrika zimejipanga vyema kuwania kufuzu nusu fainali na ku . . .
Timu ya taifa ya Ivory Coast imefuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya AFCON 2025 baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3–0 dhidi ya Burkina Faso, ambayo sasa i . . .
Bondia wa kulipwa kutoka nchini Tanzania Hassan Mwakinyo Jr ametangaza kurejea nafasi ya kwanza barani Afrika katika uzito wa kati (middleweight) na kushika nafasi ya 37 . . .
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Manchester United Ole Gunnar Solskjær, ameonyesha nia ya kurejea Old Trafford kuinoa klabu hiyo kama Kocha wa Muda (Caretaker) hadi mwisho wa msi . . .
Klabu ya Chelsea ipo hatua za mwisho kumtangaza Liam Rosenior kuwa Kocha Mkuu mpya wa kikosi hicho, baada ya pande zote kufikia makubaliano ya awali. Rosenior anatar . . .
Kocha wa timu mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika – AFCON 2025 Morocco Walid Regragui amewaonya wachezaji wake dhidi ya kuwapuuza wapinzani wao wasio na uzoefu Tanza . . .
Morocco imefuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya AFCON 2025 baada ya kupata ushindi mwembamba wa 1–0 dhidi ya Taifa Stars Tanzania katika mechi iliochezwa katika uw . . .
Serikali ya Gabon imesitisha ushiriki wa timu ya taifa ya soka “The Panthers” na kumfungia mshambuliaji nyota Pierre-Emerick Aubameyang, kufuatia kutolewa kwao kwenye . . .
Januari 3 Sudan watakipiga na Senegal katika mechi ya mwanzo kabisa katika uwanja wa Grand Stade de Tanger na usiku wake kutakuwa na mtanange mkali kati ya Mali dhidi ya . . .
Ligi Kuu ya England iliendelea kwa hamasa kubwa, na matokeo ya mwisho ya mechi za jana yanaonyesha wazi kwamba msimu huu bado umejaa presha, ushindani na matokeo ya kusha . . .
Senegal na Congo zimetuma ujumbe wa nia yao baada ya kupata ushindi wa uhakika katika mechi zao za Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON 2025 ambapo Tanzania na Tunisia  . . .
Miongoni mwa Kocha bora duniani Jose Mourihno (The Special one) katika moja ya mazungumzo yake na Rio Ferdinand amefunguka kuhusu wachezaji wa Afrika."Siwezi kwenda Afrik . . .
Mshambuliaji nyota wa klabu ya Barcelona Lamine Yamal ametwaa Tuzo ya mshambuliaji bora wa mwaka 2025 kutoka Global Soccer 2025.Lamine ametwaa Tuzo hiyo baada ya kuwa na . . .
Algeria imekuwa nchi ya tatu baada ya Misri na Nigeria kutinga hatua ya mtoano ya Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON 2025. Iliifunga Burkina Faso bao moja kwa sifuri mjin . . .
Michuano ya AFCON 2025 imeendelea kuwasha moto nchini Morocco na sasa picha ya nani anaweza kusonga mbele hatua ya 16 bora inaanza kuonekana kwa baadhi ya vigogo wa . . .
Mechi ya awali kabisa hii leo ni kati ya Angola dhidi ya Zimbabwe timu hizi za kundi zinakutana baada ya kila mmoja kuchapwa katika mechi zao za mzunguko wa kw . . .
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) inaendelea kushika kasi nchini Morocco, huku mashindano hayo yakizidi kuvutia mashabiki wa soka barani Afrika.Usiku wa . . .
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) yameanza vibaya kwa mataifa ya Afrika Mashariki, Tanzania na Uganda, baada ya timu hizo kukubali kichapo katika mech . . .
Wawakilishi wa kanda ya Afrika Mashariki na Kati kwenye michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika - AFCON 2025, wanatupa karata zao za kwanza uwanjani leo Jumanne.Baaday . . .
Michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika AFCON 2025 imeanza usiku wa kuamkia leo na katika mechi ya ufunguzi wenyeji Morocco waliibamiza timu ya taifa ya visiwa vya Com . . .