Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Omary Mchengerwa amepongeza jitihada zinazofanywa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan za kuweka mazingira weze . . .
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa leo Februari 13, 2022 anatarajia kushiriki kwenye kilele cha Tamasha la kimataifa la Sauti za Busara la . . .
BAADA ya Supastaa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz kuingia kwenye rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki, kup . . .
HUDUMA ya Kusikiliza Muziki Mtandaoni (Mdundo) yaongeza watumiaji kwa 22% barani Afrika. Muziki wa Kiafrika unalenga kujisimika na kujiimarisha zaidi barani A . . .
Mwanamuziki wa muda mrefu kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva Dully Sykes ameweka wazi kuwa yeye ni miongoni mwa wakongwe wa muziki huo mwenye mchango mkubwa. . . .
Waimbaji wa kike 20 wa Tanzania walioongoza kwa kupata pesa za Mirabaha kutokana na nyimbo zao kuchezwa sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye Radio na TV. 20. Leyla Rashid 1 . . .
Rapa mahiri kutoka kwenye kiwanda cha muziki nchini Zaiid, siku chache zilizopita ameiachia rasmi orodha ya nyimbo zake takriban 20 zitakazopatika kwenye album yake m . . .
Ukiitaja orodha ya wanamuziki hodari wa kike nchini Tanzania, basi huwezi kuliacha jina la Maua Sama, ambaye siku za hivi karibu zimeibuka tetesi za kuwa pengine nyot . . .
Msanii wa bongo fleva Nandy,The African Princess amesema kwamba vikao vimeanza kwa ajili ya maandalizi ya tamasha lake la Nandy Festival 2022. Nandy amesema . . .
miondoko ya mwanadada tatiana . . .
MWANADADA ambaye kwa sasa yuko kwenye ubora wake katika muziki wa kizazi kipya Zuhura Othman Soud maarufu kwa jina la Zuchu ameweka wazi kuwa amewahi kutoka 'Out' na . . .
Ni Mrembo kutokea Afrika Kusini, Ami Faku ambae kwasasa ndie Malkia wa muziki unaofahamika kwa jina la Amapiano. Ami Faku ni msanii wa siku nyingi ila wengi wameanza kum . . .
IKIWA ni wiki chache baada ya mtangazaji wa Clouds Media, Meena Ally kuchafuliwa mitandaoni kwa kusambazwa picha ya ngono asiyohusika nayo, hatimaye ameamua kuzungumz . . .
RAPA mkongwe na mmoja wa waasisi wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, Joseph Mbilinyi almaarufu Sugu, anarejea rasmi kwenye muziki baada ya kuanza mazoezi kwa a . . .
Baraza la Sanaa la Taifa @basata.tanzania limetoa siku tatu kwa wadau wa muziki nchini kutoa maoni yao juu ya vipengelee (Categories) vya tuzo za muziki Tanzania 202 . . .
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Alikiba ameandika kuwa: “20 years in the game, jana nimepata mrabaha wa kwanza, imechukua muda lakini mwanzo mzuri. Sheria ya hakimi . . .
Mwanadada mkali wa muziki wa dancehall kutoka nchini Jamaica ambaye amefanikiwa kwa asilimia kubwa kuliteka soko la muziki nchini marekani shanseea ambaye mapaka sasa ame . . .
Nasma Ambaye Ni Mrembo Aliyefanikiwa Kupendezesha Video Mpya Ya Wimbo Wa Utu Wake Alikiba Kutoka Katika Album Yake Wimbo Ambao Umekuwa Na Mapokeo Mazuri Na Makubwa Sana.N . . .
BABY mama wa staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa almaarufu Rayvanny ambaye ni Fahyma, anasema kuwa, kama wameachana rapa wa Marekani, Kanye West na mwanamitindo Kim . . .
Msanii Skales kutoka Nigeria ambaye tangu aingie kwenye tasnia Huu ni mwaka wake wa 12 , Skales ameongeza thamani kutoka kuwa Msanii Mdogo Mwenye Kipaji (talanta) mpa . . .
Masanii Ambaye Anataaluma Ya Udaktari Kutoka Nchini Tanzania Amabye Pia Amewahi Kuingia Katika Vichwa Vya Habari Vingi Kuwa Katika Mahusiano Na Mrembo Toka Kenya Vera Sid . . .
B Gway Ambaye Mwaka Jana Alifanya Vizuri Na Wimbo Wa Mwaka Huu Wimbo Ambao Pia Ulimvutia Msanii Wa Muziki Diamond Platnumz Kutokana Na Ubunifu Ambao Aliutumia Katika Vide . . .
Ni January 25, 2022 ambapo Mahakama imetoa uamuzi wa kesi iliyomkabili rapper Cardi B dhidi ya Mwanadada Tasha K. Mahakama hiyo imemkuta hatiani Tasha K na kumtaka amlip . . .
Karibu kutazama video Mpya ya Foby ikiwa ni wimbo kutoka katika Ep Yake ya Me Myself and I. . . .
HARMONIZE - MWAKA WANGU . . .
Alianza kung’ara kupitia muziki wake akiwa kama yeye na baadae kushikwa mkono na Ommy Dimpoz chini ya Pkp ambaye pia alifanikiwa kumuinua kwa kiasi kikubwa sana lakini . . .
Mchekeshaji maarufu na mtangazaji wa tv na radio Broderick Stephen Harvey a.k.a Steve Harvey ni moja ya watu wenye ushawishi mkubwa katika sekta ya burudani duniani.Sasa . . .
Msanii wa muziki wa bongo fleva kutoka nchini Tanzania ambaye pia anafanya vizuri kwa sasa na ep yake ya MMI,Foby ambaye ameachia video ya moja ya wimbo wake ambayo inapa . . .
Tamasha la sauti za busara (sound of wisdom) limekuwa moja ya tamasha pendwa Afrika mashariki na hata Afrika kwa ujumla kutokana na namna tamasha hilo lilivyobeba.Maudhui . . .
Mwanamitindo na msanii maarufu Bongo, Hamisa Mobetto amekana madai kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Rapa wa Marekani Rick Ross.Akizungumza katika mahojiano na runinga . . .
Rapa kutokea Marekani, Kodak Black amesema mwaka 2022 anataka kuiondoa laana ya kwenda jela tofauti na miaka mingine.Kodak Black amesema tangu atimize miaka 14 hajawahi k . . .
ALKIA wa muziki wa Bongo Fleva Afrika Mashariki, Nandy The African Princess ameendelea kutrendi na tetesi za kuwa mjamzito kwa wiki kadhaa sasa.Inasemekana kuwa, Nandy au . . .
SERIKALI ilisema itaanza kulipa mirahaba ya kazi za wasanii kuanzia Desemba mwaka huu kupitia makusanyo yatakayopatikana kwenye vyombo vya habari vitakavyotumia kazi zao . . .