Anaitwa Solomon Ogbeide Ambaye Anawakilisha Esan Igueben Katika Jimbo La Edo Huko Nigeria.
Solemzo Ni Mwanamuziki Wa Miondoko Ya Afro Hippo Pamoja Na Afro Beat Ambaye Makazi Yake Ni Nchini Marekani.
Licha Ya Kufanikiwa Kufanya Muziki Na Kufanikiwa Kuachi Ngoma Kadhaa Miaka Kadha Nyuma Solemzo Ameamua Kurejea Tena Kufanya Muziki Rasmi Akiwa Na Nia Ya Kufanya Mambo Makubwa Zaidi Huku Moja Ya Msanii Ambaye Amemvutia San Ani Wizkid Kutoka Nigeria.
Solemzo P Ameachi Ngoma Yake Mpya Aliyoipa Jina La Issues Ambayo Unaweza Kufurahia Kupitia Youtube Vile Vile Kupitia Instagram Yake @Solemzo Kwa Kuwa Karibu Zaidi Na Muziki Wake.