Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialzuchu amechakuliwa kuwa mmoja ya wasanii ambao watatoa burudani siku ya utoaji tuzo za AFRIMMA mnamo Novemba 19 mwaka huu katika jiji la DALLAS TEXAS nchini MAREKANI.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa AFRIMMA wameandiuka kuwa: @officialzuchu will be performing live at this year’s AFRIMMA AWARD SHOW. Zuchu is a Tanzanian singer and songwriter born in Zanzibar but based in Dar es Salaam. She has been nominated in the “BEST FEMALE EAST AFRICA” category for this year’s ward.
AFRIMMA 2022 is going to be jam-packed and off the chain! Be there!
African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA)
Date: November 19th, 2022
Venue: Gilley’s Dallas, Dallas, Texas