Official Lyyn " Diamond Platnumz Alikuja Kwetu Kujitambulisha ili Anioa Mazima, Alinicheat "

Msanii wa Bongofleva, Official Lyyn ameongea kuhusu mahusiano na Diamond Platnumz kwenye kipindi cha Lavi Davi cha Wasafi FM na Diva,

Official Lyyn Amesema, "Nimekaa na Diamond Platnumz kwenye mahusiano kwa mwaka mmoja na nusu, Tulipendana, wakati naanza kutoka nae sikuwa maarufu, watu wamekuja kujua baadae, alishakuja nyumbani kutaka kunioa, haikuwa Easy kama wengine, tuliishia njiani sababu alinicheat".


Official Lyyn aliongezea kuwa "Mimi namwambia mwanaume ukweli, ukinicheat ndio basi, mimi ni mtu mkweli sana"

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii