Wakazi Apata Ajali Mbaya ya Gari Nchini Marekani

Mwanamuziki wa Hip Hop Nchini Wakazi ametangaza kunusurika Kifo kwenye ajali mbaya ya gari. rapper huyo kwa sasa yupo zake nchini Marekani, Kupitia taarifa yake ambayo ameichapisha kwenye Mtandao wa Instagram Wakazi ameandika  :


baada ya kunusurika alisema haya

Nashukuru kwa upendeleo wa kupata nafasi nyingine ya Maisha, baada ya kunusurika na ajali mbaya. Ilikuwa inatisha na worse could have happened. I’m okay guys, thankful and just reflecting & re-purposing, baada ya issue hii.


Lorry (truck) la mizigo lilikuwa na Trailer (ki-kontena), ambacho kilikatika na kusimama katikati ya barabara kubwa (Freeway) ambapo magari huenda kwa kasi (I was driving at 65 mph). Mimi pamoja na magari mengine tulijitahidi kulikwepa bila ya mafanikio. Ku avoid head on collision niliyomba upande wa kulia (maana kushoto ningevagaa magari ya kasi zaidi) ila bado sikuweza kuponea chupu chupu. Mwenye Lorry hakusimama (kakimbia) na jumla magari matano (5) including mine, got hit.


Thanks to first responders, fellow drivers & bystanders who rushed to help ingwa it was so risky maana magari yalikuwa nayakuja kasi bado pasipo kujua wala kutegemea incident mbele.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii