HAWA NDIO WASANII WALIO NG'ARA KWENYE TUZO ZA AFRIMA

Tuzo za AFRIMA Siku ya Jana Wametoa List ya wasanii Waafrika Waliochaguliwa Kuwania Tuzo hizo Barani Afrika , Katika Wasanii Kutoka Tanzania walioingia Katika List Hiyo ni Hawa Wafuatao:

Marioo, Rosa Ree, Rayvanny, Diamond Platnumz, Zuchu, Nay wa Mitego, Frida Amani, Rose Mhando, Mbosso, Kimambo and Navykenzo

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii