Hatimaye Paula Kajala Amkubali Harmonize Kama Baba

Hatimae mtoto wa mpenzi wa mwanamuziki harmonize Kajala Masanja #PaulaKajala kwa mara ya kwanza amemtambua @harmonize_tz kama baba yake hadharani kupitia ukurasa wake wa instagram (insta story yake).

Itakumbukwa kuwa wawili hawa wamewahi kuwa katika tofauti kubwa kiasi cha Paula kutomtambua Harmonize kama baba yake wa kufikia.

Paula amemtaja Harmonize kama baba yake akishare kionjo cha wimbo mpya wa Harmonize

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii