Kill Paul Aupiga Mwingi Kwenye Tv Show Kubwa

Mtengeneza wa Maudhui maarufu nchini Tanzania, ambae amejizolea umaarufu mkubwa Kwenye Mtandao wa Tiktok Pamoja na Instagram Maudhui ambayo yalimfanya ajizolee mashabiki wengi huko India.

kili_paul ambaye ni mmasai  mkazi wa Chalinze Tunaweza kusema Shavu limemdondokea Siku ya leo Kill Paul ametokea kwenye Tv show Maarufu zaidi huko India inayofahamika kama 'Big Boss 16' uzito wa Show hii ni kwamba ina Hostiwa na Mcheza filamu Mkongwe India Salman khan.


Unachotakiwa kufahamu ni kwamba Kill poul kwenye show hii alitokea kama Suprise kitu ambacho kiliibua Furaha kwa Mashabiki ambao walikuwa wakitazama show hiyo


Mmasai huyu anakula shavu hili mara baada ya siku 6 tu kushaare na mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa instagram alisema kuwa yupo safarini anaelekea india. 

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii