Masha love Amchafua Jimmy Mafufu, KisaMimba

Masha Love kumchafua Muigizaji Jimmy Mafufu. Kiufupi Masha Love alikuwa mchepuko wa Jimmy. Watu hawa Wame-date kwa siri sana, hatimae Mimba ikaingia na hapo matatizo ndipo yakaanza kutokea kwani Masha anataka kuzaa, huku Jimmy hataki, anataka mimba itolewe maana Yeye ana mke na watoto hivyo kuzaa nje kwa Mkristo sio jambo zuri.


Kilichomkasilisha Masha ni suala la kutoa mimba, kwani yeye hayupo tayari, hivyo ndio maana akaamua kumuanika Jimmy kwenye Page yake ya Instagram, huku akivujisha mpaka massage na Voice note za Jimmy ambazo amemtaka atoe mimba hiyo. Mbali na Hayo Masha ameeleza kwamba Jimmy amempiga na mara nyingi alikuwa akimuomba kumuingilia kinyume na Maumbile na hivi sasa amempiga Block kila sehemu.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii