Rapa Coolio Afariki Dunia

Rapa wa Marekani Coolio amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 59. Coolio ambaye alipata umaarufu kwenye miaka ya 90 akiwa na Hits zake kama “Gangsta's Paradise” na “Fantastic Voyage”


Rafiki yake na meneja wa muda mrefu Jarez Posey ameithibitishia TMZ kwamba rapa huyo alifariki Jana Jumatano Jijini Los Angeles. Kwa mujibu tovuti hiyo, Coolio alimtembelea rafiki yake na alipokwenda bafuni hakurudi tena. Rafiki yake baada ya kuona ukimya huo, alienda bafuni na kumkuta Coolio akiwa amelala sakafuni.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii