Rapper Kanye West ametumia ukurasa wake wa Instagram kutoa hisia zake juu ya wimbo wa Wizkid “Essence ” akiutaja kama wimbo bora toka historia ya muziki ianze hadi hii leo.
Wimbo huo ulitoka 2020 katika albamu ya Made In Lagos ya kwake Wizkid na ukaanza kupata mafanikio zaidi mwaka 2021, ukiuza zaidi ya Copies 2M+ nchini Marekani, nakuwa certified 2x Platinum na RIAA.