Chege Chigunda " Kulipwa Milioni 25 na Rayvanny"

Mwanamuziki Chege Chigunda akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es salaam amefunguka kutokulipwa kiasi cha Sh Milioni 25 na msanii Rayvanny kama ambavyo Mwijaku alieleza.

Hii ni mara baada ya Mwijaku kuzungumza  kwenye moja ya mahojiano yake alisema Chege kashalipwa na Rayvanny kiasi cha Milioni 25 kwa ajili ya kumalizana na sakata la msanii Mac Voice ambaye awali alikuwa msanii wake.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii