Sunday Ginikachukwu Nweke Maarufu Kwa Jina La Masterkraft Mtayarishaji Wa Muziki Kutoka Nchini Nigeria Ambaye Amefanikiwa Kufanya Kazi Na Wasanii Mbali Mbali Kutoka Nchini Nigeria Akiwemo Mr Flavour,Davido ,Tekno,Phyno Na Wengine Wengi.
Pasi Na Kuwa Mtayarishaji Wa Muziki Masterkraft Ni Mwandishi Wa Nyimbo ,Muongozaji Wa Bendi Pamoja Na Mwimbaji.
Ikiwa Ni Miezi Kadhaa Tangu Aachie Kazi Yake Aliyomshirikisha Chike Maarufu Kwa Jina La Hosanna Masterkraft Yuko Mbioni Kuachia Kazi Yake Mpya Rasmi Akiwa Kama Msanii Pamoja Na Utayarishaji Wa Ep Yake Ambayo Itatangazwa Tarehe Rasmi Ya Kutoka.