Wizkid Kwa Mara Ya Kwanza Afrika kupanda kwenye Tamasha la Rolling Loud.

Staa wa muziki nchini Nigeria  Wizkid anakuwa Msanii wa kwanza wa Kiafrika kuwa kwenye vichwa cha habari duniani kote baada ya kuhudhuria kwenye tamasha kubwa zaidi la Hip-Hop duniani linalojuikana kwa jina la Rolling Loud lililofanyika huko huko Toronto nchini Canada.

Mbaya na Kidayo kuwa msanii pekee wa Kiafrika Pia amekua Mwafrika wa kwanza kupokea dola milioni moja sawa na Tsh 2,332,000,000/= kwa ajili ya onyesho kwenye hafla hiyo.

Ikumukwe kuwa mastaa kutoka Marekani Future na Travis Scott mnamo mwaka 2019 pia walithibitisha kuwa walilipwa dola milioni moja sawa na Wizkid.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii