logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 4, 2022

Urusi yapiga marufuku DW kuendesha shughuli zake nchini humo

Shirika la Utangazaji la Ujerumani - DW limeapa kuchukua hatua ya kisheria baada ya Urusi kulipiga marufuku kuendesha shughuli zake nchini humo. Wizara ya Mambo ya Kigeni ya Urusi imetangaza jana kuwa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 4, 2022

Wabunge wahoji mikataba kupelekwa bungeni

 Mbunge wa Bunda Vijijini, Mwita Getere ameibua tena sakata la wabunge kudai mikataba ya miradi mikubwa ipelekwe bungeni ili waipitie.Katika swali la msingi mbunge huyo ameitaja mikataba ya m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 4, 2022

Marekani yadai ina ushahidi Urusi ina mpango wa kudanganya kuwa imeshambuliwa na Ukraine

 Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema inao ushahidi kuhusu mpango wa Urusi kutoa mkanda bandia wa video, ikionyesha kitakachoelezwa kuwa ni shambulizi la Ukraine, ili iutumie kama kisingizi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 4, 2022

VIJANA WANAHITAJIKA KATIKA MAKUMBUSHO YA AZIMIO LA ARUSHA .

Vijana na wananchi mbalimbali nchini wameshauriwa kwenda Makumbusho ya Azimio la Arusha kujifunza misingi muhimu iliyowekwa na waasisi wa nchi hii wakiongozwa na Hayati Baba wa Taifa Mwl Julia N . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 4, 2022

WASAMBAZAJI WA VIFAA VYA UJENZI WAONYWA KUPANDISHA BEI BILA SABABU YA MSINGI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Prof. Godius Kahyarara amewaonya wasambazaji wa bidhaa za vifaa vya ujenzi kutokupandisha bei kwakuwa ni kosa la kisheria kupandisha bei z . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • February 3, 2022

Hali ya utulivu yarejea Bissau baada ya jaribio la mapinduzi

Hali ya utulivu imeonekana kurejea katika mji mkuu wa Guinea-Bissau, wakati serikali ikianzisha uchunguzi wa kile ilichokitaja kuwa jaribio la mapinduzi lilolenga kumwondoa madarakani rais Uma . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • February 3, 2022

Cocaine yawauwa watu 17 nchini Argentina, huku wengine wakilazwa hospitalini

Maafisa katika mji wa Argentina wa Buenos Aires, wanajaribu kuzuwia mauzo ya mihadarati aina ya kokeni baada ya kuwauwa watu wapatao na wengine 70 kulazwa hospitalini baada ya kutumia dawa hiyo . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 3, 2022

Makomando wa Marekani watekeleza uvamizi mkubwa Syria

Vikosi maalum vya Marekani vimefanya uvamizi dhidi ya ugaidi katika eneo linaloshikiliwa na upinzani kaskazini-magharibi mwa Syria, karibu na mpaka wa Uturuki, Pentagon imesema.Msemaji alisema k . . .

Afrika Mashariki
  • Na JZ The Brand
  • February 3, 2022

Mwanamume akamatwa kwa kuiba biblia mbili dukani

Image caption: BibliaMwanamume ambaye amekamatwa na kushtakiwa kwa kuiba biblia mbili kwenye duka kubwa jijini Nairobi anasema alichokuwa akitaka ni kumjua Mungu tu. Augustine Wanyonyi, 35, alia . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 3, 2022

WIZARA YA AFYA YAPOKEA VIFAA TIBA KUTOKA PHARM ACCESS FOUNDATION

Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar imepokea msaada wa wa vifaa tiba ya mama na mtoto  vyenye thamani ya Tsh milioni 92 kwa lengo la kuimarisha afya bora nchini.Ak . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 3, 2022

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UENDESHAJI WA MTIHANI WA AWALI KWA MADAKTARI WATARAJIWA

. . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 3, 2022

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI ATEMBELEA MRADI MKUBWA WA MAJI LONGIDO.

Naibu Katibu mkuu wizara ya maji ,Mhandisi Nadhifa Kemikimba ametembelea mradi wa maji wilayani Longido na kusema wameridhishwa na mradi huo unavyotekelezwa.Aliyasema hayo wakati alipotembele . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 2, 2022

Mwanajeshi apandishwa cheo kwa kumsaidia mwanamke kujifungua Zambia

Mwanjeshi wa Zambia amepandishwa cheo cha kijeshi kwa kumsaidia mwanamke mjamzito kujifungua mtoto katika shamba la mahindi.Humphrey Mangisani amepadishwa cheo kutoka askari alisiye na cheo hadi ko . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 2, 2022

Mwanajeshi apandishwa cheo kwa kumsaidia mwanamke kujifungua Zambia

Mwanjeshi wa Zambia amepandishwa cheo cha kijeshi kwa kumsaidia mwanamke mjamzito kujifungua mtoto katika shamba la mahindi.Humphrey Mangisani amepadishwa cheo kutoka askari alisiye na cheo hadi ko . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 2, 2022

Waziri Gwajima Apokea Ugeni Wa ‘un Women’, Waonesha Utayari Kuboresha Miongozo Ya Wizara

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaum, Dkt. Dorothy Gwajima, amepokea ugeni wa Shirika la kupigania haki za wananawake na usawa wa kijinsia katika nafasi za uongozi, UN . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 2, 2022

Serikali Kupima Utendaji Kazi Wa Taasisi Zake Kielektroniki-Waziri Mhagama

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Serikali inaboresha Mfumo wa Uwazi wa Kupima Utendaji Kazi wa Taasisi unaojulikana ka . . .

Afrika Mashariki
  • Na JZ The Brand
  • February 2, 2022

Rwanda - Uganda: Kwa nini mpaka haujafunguliwa kikamilifu

Furaha ya wengi ilitoweka wakati watu wachache tu waliruhusiwa kuvuka mpaka wa Gatuna/Katuna, ambao ulipangwa kufunguliwa tena Jumatatu.Kwa sababu ya mzozo wa kisiasa mamlaka nchini Rwanda ziliamu . . .

Top Story
  • Na JZ The Brand
  • February 2, 2022

Sakata la mtoto kumuua mtoto mwenzake, familia yatoa kauli

Familia ya Marehemu Ally Khalifa Bakari, Mtoto mwenye umri wa miaka tisa ambaye amefariki mara baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mwenzake hadi kupelekea kufariki Dunia, imeiomb . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 2, 2022

Kesi ya Mbowe:Shahidi Mwanajeshi akana kukamatwa

Shahidi wa 12 upande wa Jamhuri Luteni Denis Urio katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu amekataa kuwa aliwahi k . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 2, 2022

Mwanamke Aolewa na Ndugu yake wa Damu Bila Kujua na Kumzalia Watoto 3

Mwanamke Mrwanda, Mukandamage Domitila aliwashtua wengi baada ya kufichua alikuwa ameolewa na ndugu yake wa damu moja.Domitila alizaliwa mnamo mwaka 1978, lakini mwaka mmoja baadaye mama yake alifarik . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 2, 2022

Baba wa Polisi aliyejinyonga mahabusu ataka uchunguzi

 Wakati Jeshi la Polisi likieleza jinsi mkaguzi msaidizi wa polisi Grayson Mahembe alivyojinyonga akiwa mahabusu, hatua iliyoibua hisia na maswali kadhaa, baba mzazi wa marehemu Gaitan Mahe . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 1, 2022

Uchaguzi WaSpika: Mtia Nia Awaacha Hoi Wabunge

WAKATI wabunge wakiendelea kusikiliza hoja za watia nia wanaowania kurithi mikoba ya Job Ndugai, Bungeni jijini Dodoma, Ndonge Said Ndonge, kutoka Chama cha AAFP huenda akawa ni mtia nia pekee aliei . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 1, 2022

Mwaka mmoja wa mapinduzi ya kijeshi Myanmar waadhimishwa kwa maandamano

Wapinzani wa utawala wa kijeshi nchini Myanmar wameadhimisha mwaka mmoja wa mapinduzi ya kijeshi nchini humo kwa mgomo wa kitaifa kuonyesha mshikamano wao, huku jeshi likiendelea kung'ang'ania mad . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • February 1, 2022

Nchi za Kusini mwa Afrika zajiandaa kukabiliana na kimbunga cha pili

Kituo cha Huduma za Hali ya Hewa cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) (CSC) kimeonya juu ya mvua kubwa ambayo inaweza kusababishwa na kimbunga inayokuja, iitwayo Batsirai.CSC ilisem . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 1, 2022

MKUU WA WILAYA SONGWE AKAGUA UJENZI WA BARABARA,AISHUKURU SERIKALI

MKUU wa Wilaya ya Songwe Simon Simalenga amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa barabara yenye kipande cha urefu wa kilomita 7 kutoka Kata ya Kanga kwenda Kata ya Ifwenkenya ambayo inajengwa na . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 1, 2022

KURA ZA SPIKA KUPIGWA LEO

 Bunge la Tanzania limeanza vikao vyake hii leo huko jijini Dodoma, ambapo limeanza shughuli zake kwa kuendesha uchaguzi wa spika mpya atakaeliongoza bunge hilo. Nafasi ya spika iliachwa wazi p . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 1, 2022

ATCL Yapewa Maagizo Bei za Tiketi

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakibete ameitaka idara ya Masoko ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kufanya tafiti na kuja na mpango madhubuti wa bei za tiketi ili kuruhusu abir . . .

Afrika Mashariki
  • Na JZ The Brand
  • February 1, 2022

Kenya yawarudisha nyumbani washukiwa wa mauaji Uingereza

Kenya imewarudisha raia wawili wa Uingereza nchini humo ambako wanasakwa kwa mauaji.Taarifa kutoka kwa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini Kenya inasema wapelelezi walimkamata Mohamud Siy . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 1, 2022

Marekani na Urusi zakabiliana katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

Balozi wa Marekani Linda Thomas-Greenfield alisema upelekwaji huo ulikuwa mkubwa zaidi Ulaya kuwahi kuonekana katika miongo kadhaa.Mwenzake wa Urusi aliishutumu Marekani kwa kuchochea hali ya wasi . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 1, 2022

Familia zaidi zalia watoto kupotea mikononi mwa polisi

 Wingu limetanda katika familia ya Salmin Shame (33) kijana anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu usiku wa Desemba 24 mwaka jana.Kijana huyu akiwa na wenzake wawili, Elis . . .

Kurasa 128 ya 133

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Udanganyifu, kuandika matusi bado tatizo katika mitihani

    • 19 masaa yaliopita
  • Enzo Maresca Atajwa Kumrithi Ruben Amorim Manchester United

    • 19 masaa yaliopita
  • Bill Gates Amlipa Melinda Dola Bilioni 8 Miaka Mitano Baada ya Talaka

    • 19 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode